Mchongo wa kuvuta Shisha unastimu gani wakuu

Planeti

Member
Joined
Jun 4, 2020
Posts
86
Reaction score
93
Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi..

Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa..

Sasa watumiaji wa hii bidhaa mje mtupe mrejesho kuhusiana na gari Moshi hilii
 
Jana nimeenda WASWANO BAR aisee SHISHA imetapakaa balaa na mimi nikajiuliza hilo swali inastimu gani?
 
Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi..

Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa..

Sasa watumiaji wa hii bidhaa mje mtupe mrejesho kuhusiana na gari Moshi hilii
Hewa safi na ya bure haikutoshi?
 
Inapamdisha nyege

Usijaribu

Akili za kuiga kila kitu

Nenda kavute ile mimoshi ukianza kuugua kifua na kansa ya mapafu.
 
Back
Top Bottom