Wewe unaweza kumchamba Jiwe?au vile upo humu kujificha?
Sio kumchamba kama tupo uswahilini mzee...
Ushaona Generali Ulimwengu anavyotoa hoja za kupinga vitu?
Hii sio match ya kutukanana,ni hoja smart bandika bandua!
Ndio tunavyotaka....sio mambo ya kutukanana....
Jiwe ni kumpa hoja smartly,akikufuata kosa litakua kwake sio kwako!
Mazingira tuliyonayo sio yakumlaumu MTU nakumuona mdhaifu .Hali ni mbaya sana kila mmoja anafanya kwa tahadhari
Mkuu Masudi ana platform,anatakiwa akiona uonevu mahali auseme bila kificho...
Masudi sio some token small guy like me and you,ni mtu anaejulikana na jamii nzima,huwezi muonea kifala fala tu,jamii will react back!
Kwahiyo anainjoi public protection kutoka kwetu,inatakiwa akemee uonevu kwa wazi!
Namlaumu sababu ana platform kubwa zaidi hata ya JF tuliyonayo sisi wanyonge,anaweza effect kwa ukubwa zaidi kukemea maonevu...Hiyo ndio shida!
Jiwe anatafuta ulipokosea ndio anakufata,ila kama ni clean punches hana pakukushika,labda afanye tena abductions ambapo atapokea public cry ambayo anaiogopa kama ukoma!