Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia imeendelea kushuhudia matukio ya viongozi mbali mbali wa Afrika wakigeuka miungu watu nchini kwao.
Uganda inashuhudia babu M7 akiwania uongozi hata baada ya kufikisha miaka 76,uzee ushapiga hodi lkn bado anahitaji kuwaongoza wana Uganda.View attachment 1678135
Soccos ya familia anaanzaje kuachia madaraka?Hushangai chairman aliyeng'oa kipengele cha ukomo anataka kutawala mpaka lini!
Kuna Watafunwa watafunwe
Soccos ya familia anaanzaje kuachia madaraka?
Atafia pale yule dikteta wa chama,na ukimkosoa tu unafukuzwa.
Sijui wa kwenu anayetaka kubadili katiba