Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.
Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14.
Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanafuatilia sakata hili.
Tutaendelea kuweka updates kadiri zinavyojiri
==========UPDATES============
Mpaka sasa polisi wanapiga danadana kumpeleka mahakamani
Mpelelezi wa kesi amepokea maagizo na hajampeleka mahakamani hadi muda huu.
Kuna dalili wanataka kumpeleka mahakamani kwa kificho ili asipate dhamana.
Kuna dalili shinikizo kutoka juu kuwa aendelee kushikiliwa polisi.
Mawakili wanashughulikia options za kisheria..