Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leo

Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leo

Halafu Hakuna kuwajibika,mtu unamshikilia zaidi ya siku 10 kinyume na sheria halafu maisha yanaendelea tu!Jeshi letu linaongoza kwa kukiuka sheria!
Mimi ningependekeza itungwe sheria kila mtuhumiwa anapofikishwa mahakamani basi swali LA kwanza kutoka kwa Hakimu/Jaji liwe amekamatwa lini ?Kama muda umezidi saa 48 basi taarifa iingizwe kwenye mfumo maalum!Kianzishwe chombo cha kutrack hizi taarifa na kuwashughulikia polisi!
The only way ni kuwa na chombo independent cha kuchunguza mienendo ya jeshi la polisi, na hii kitu iwe kwenye katiba. Kwa sasa hakuna chombo chochote cha kumuwajibisha polisi au vyombo vingine vya dola pale wanapokuwa wamevunja sheria na taratibu mbalimbali.
 
Hii kesi wanaenda kujidhalilisha tena mahakamani. Katuni imechorwa mwanamke anachezea maji nyuma yake Kuna jamaa ameandikwa neno KIWETE mgongoni hapo unaweza kutoa kila aina ya tafsiri.

Hii wanapoteza muda na kumsumbua kijana wa watu.
Usisahau kale kamchezo kao ka kuning'iza kama popo kwenye bomba ili ukubali na kusaini charge sheets... Wee unadhani kwa nini hawajampandisha kizimbani mpaka leo?
 
Hii wanajidhalilisha tu on a serious note hakuna kesi hapo. Kuna kundi linaanza kumgombanisha mama na waandishi wa habari bila yeye kujua na hiyo atakuja kustuka tayari wakati ameingia kwenye list ya madikteta. Ajichunge sana na kesi za kipuuzi kama hizi ambazo tulizoea enzi ya Utawala wa Magufuli.

Utakuta ni mjinga mmoja tu, kaamua hivyo kuonyesha anajali sana...asifiwe..
 
Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.

Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14.

Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanafuatilia sakata hili.

Tutaendelea kuweka updates kadiri zinavyojiriView attachment 1963283

==========UPDATES============
Mpaka sasa polisi wanapiga danadana kumpeleka mahakamani

Mpelelezi wa kesi amepokea maagizo na hajampeleka mahakamani hadi muda huu.

Kuna dalili wanataka kumpeleka mahakamani kwa kificho ili asipate dhamana.

Kuna dalili shinikizo kutoka juu kuwa aendelee kushikiliwa polisi.

Mawakili wanashughulikia options za kisheria..
Ndugu ewe si CCM, haya msaifieni CCM mwenzenu.
Hata kigogo nasikia ni kada sikuhixi.
 
Ndugu ewe si CCM, haya msaifieni CCM mwenzenu.
Hata kigogo nasikia ni kada sikuhixi.
Mimi ni CCM yes.

Lakini haimaanishi kwamba kuwa ndani ya CCM ni kukubaliana na madhila yanayowakumba watu.

Nimeshawahi kuwa kiongozi ndani ya CCM lakini sikuwa kwenye kundi la wanaotegemea siasa chafu ili kushinda

Fuatilia rekodi zangu.
 
ha
Kuna issue inazungumzwa kwamba katika msimu huu wa 6, ole wako umguse Msoga utapewa meno ili uyasage
Hata afanyeje watu watamzungumza tu na pia mama arejee mafunzo ya watu wa kale kwa wafalme ambao waliingia kwnye mamlaka kwa kurithi ama kupindua ufalme mwingine nanukuu ; your power lies in your ability to
control your emotions once someone has command over your inner world they become your master
protect your reputation at all costs when it is strong your rivals will seldom challenge you when it is weak attacks will come from all corners
 
Muda si mrefu IGP ziRO analiwa kichwa nafasi anakamata MeJA gENEral mmoja hivi ameshapatikana
 
Sio tatizo kwny hiyo katuni,basi tu!!,inshu ni kujishtukia kumezidi sana,!!
 
Hii kesi wanaenda kujidhalilisha tena mahakamani. Katuni imechorwa mwanamke anachezea maji nyuma yake Kuna jamaa ameandikwa neno KIWETE mgongoni hapo unaweza kutoa kila aina ya tafsiri.

Hii wanapoteza muda na kumsumbua kijana wa watu.
Mimi nliona mtoto anachezea maji na babake anawatazama wacheza maswezi, kumbe ni mwanamke?
 
Mpaka sasa polisi wanapiga danadana kumpeleka mahakamani

Mpelelezi wa kesi amepokea maagizo na hajampeleka mahakamani hadi muda huu.

Kuna dalili wanataka kumpeleka mahakamani kwa kificho ili asipate dhamana.

Kuna dalili shinikizo kutoka juu kuwa aendelee kushikiliwa polisi.

Mawakili wanashughulikia options za kisheria..
Sikujua kama kumchora mwanasesere mwenye ushungi mwekundu akiwa karibu na kiwete ni dhambi
 
Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani.

Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa kuelezea ukaribu wake na Kigogo14.

Balozi mbalimbali nchini na wapigania haki kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanafuatilia sakata hili.

Tutaendelea kuweka updates kadiri zinavyojiriView attachment 1963283

==========UPDATES============
Mpaka sasa polisi wanapiga danadana kumpeleka mahakamani

Mpelelezi wa kesi amepokea maagizo na hajampeleka mahakamani hadi muda huu.

Kuna dalili wanataka kumpeleka mahakamani kwa kificho ili asipate dhamana.

Kuna dalili shinikizo kutoka juu kuwa aendelee kushikiliwa polisi.

Mawakili wanashughulikia options za kisheria..
Kuchora cartoon nayo ni fani na kipaji. Kama atatoka Polisi mshaurini afanye mishe zingine kwa kuwa hana kipaji. Otherwise atapata shida tu kwa namna ya uwasilishaji wake.
 
Mimi nliona mtoto anachezea maji na babake anawatazama wacheza maswezi, kumbe ni mwanamke?
Zote ni tafsiri, Ila mtoto alikuwa wa like so ndio? Hapo bado haileti kosa watahangaika bure tu
 
Back
Top Bottom