Mchoraji nguli Tanzania nawakaribisha nyote kujipatia picha kutoka kwangu kwa gharama nafuu

Mchoraji nguli Tanzania nawakaribisha nyote kujipatia picha kutoka kwangu kwa gharama nafuu

Jina langu naitwa sulesketcher.

Mimi najihusisha na sanaa ya Uchoraji kwa zaidi ya miaka 5 sasa, nimefanya sanaa hii na watu mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo na viongozi wakubwa wengi waliomaliza muda wao na wachache waliobaki katika nafasi zao za uongozi.

Sanaa hii ya Uchoraji kwangu ni kipaji kutoka kwa Mungu Wala sikusomea popote, kupitia sanaa hii ya Uchoraji nikiwa Chuo, nilifanikiwa kushinda tuzo ya mchoraji bora wa Chuo chote chenye colleges zaidi ya 6.
Natamani niigawe sanaa hii ya Uchoraji kwa wenye uhitaji lakini nimeshindwa kwa sababu ya Lack of Capital, Hivyo nimebaki kuitumia kwa kuwachorea watu picha zao kwa gharama nzuri tu.

Na sababu ingine kwakuwa sijapiga hatua ya kuwa maarufu nchini ingawa naona baadhi ya picha zangu zikitumiwa na watu mbalimbali kwa kuziweka DP ,kupost katika account zao bila kunitag.

Hivyo nichukue fursa hii kuwakaribisha nyote kujipatia picha kutoka kwangu kwa gharama nafuu,
Napatikana Ilala, Dar es Salaam, Tanzania.

Mitandao ya kijamii
Instagram: sulesketcher
X : sulesketcher1
Mawasiliano : 0687 196 231.

Nimeambatanisha baadhi ya picha nilizochora kwa kutazama zaidi.
Karibuni sana.
Mchore Baba wa Taifa kwanza tujiridhishe na viwango vyako
 
Comment yangu isikuvunje moyo! Kwa shughuri yako, ukitaka ku win, basi epuka kuegemea upande mmoja! We hata kama hauipendi Yanga, we chora picha ya Pacome, Aziz K,jamaa wa upande huo utawapata sana. Kule kwingine, tofauti na JIWE, usimsahau SEIF!
Shukran tajiri
 
Back
Top Bottom