MCHORAJI WA BUSINESS EMBLEM, nimpate wapi?

MCHORAJI WA BUSINESS EMBLEM, nimpate wapi?

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
JAMANI, KAMA KUNA MTU ANAYO KAMPUNI YA KUTENGENEZA symbols za makampuni, ninayo kampuni yangu nahitaji kuitengenezea emblem yake (whether you call it business mark, trade mark whatever the case, lakini ni mark itakayokuwa inaitambulisha kampuni yangu popote duniani na kwenye stamp zangu zote etc)...please, nielekezeni ofisi zenu ili tuwafuate huko mliko. asante.
 
mkuu ni pm nikupe ya jamaa mmoja,ni mkali sana na bei iko pouwa
 
nae anapm,si vizuri kudisplay namba za simu za watu humu hovyo hovyo
 
nae anapm,si vizuri kudisplay namba za simu za watu humu hovyo hovyo
Weka namba ya kampuni husika ili Kama kuna mtu anahitaji msaada husika nae awe amefaidika kwa msaada wako. Matapeli ndio wanapenda kutumia PM ili waweze kuwapa za uso wahitaji huduma. Mtu kaomba msaada hadharani,sioni ubaya Kama ukimsaidia hadharani ili na wengine wapate kufaidika.
 
Name: Legacy Impresion Company
Located: Kijitonyama,plot no 128 block 44 oppst kkkt Church
Deal with: Graphic Design,Printing, Webtech & Stationeries
Contact: 0713 603 699/ 0767 603 699
 
Kwangu mimi, graphic design ni KIPAJI nilichopewa na Mungu. Nitafute kwa wakati wako, nakuahidi utaridhika na kazi yangu na utawatangazia wengi wengine.
 
giseo.pngDISCMASTER 8.jpgMASHUJAA FM GREEN.jpgmogean foundation logo red.png

locco.png gerikon_new_2012.PNG nasrix_logo_best.PNG jockey_club_2.PNG

mwebrania_logo.png RICARDO HOUSE.PNG kilimanjaro_trekker_logo_2.PNG

organic_farming_tza.PNG natures wealth big.png wigo logo.png

hizi ni kazi ambazo nimeshafanya. nita design logo ya kisasa,kimataifa kwa bei nafuu. napatikana
tel: 0655 308308, 0767 102102, email: cerengeti@gmail.com
 
Kuchora ni kitu rahisi tu, kazi ni ku-design nembo inayoendana na matakwa. Anayehitaji nembo anitumie PM na aambatanishe vigezo vyake. Naamini ataridhika na atafurahi.
 
Umejitahidi lkn jaribu kuwa m'bunifu. Kazi zako nyingi zinafanana na zile ambazo zimeshafanywa na wengine. Ni changamoto, ifanyie kazi!
 
M-PM C6 ni member JF na ni mzuri kwa Graphics!
 
Last edited by a moderator:
Call me through! 0714021078 for all your graphics, animation, Motion graphics, Designs and Printing
 
JAMANI, KAMA KUNA MTU ANAYO KAMPUNI YA KUTENGENEZA symbols za makampuni, ninayo kampuni yangu nahitaji kuitengenezea emblem yake (whether you call it business mark, trade mark whatever the case, lakini ni mark itakayokuwa inaitambulisha kampuni yangu popote duniani na kwenye stamp zangu zote etc)...please, nielekezeni ofisi zenu ili tuwafuate huko mliko. asante.

usisahau kuandikiana nani anakuwa mmiliki wa hiyo logo/mark. usiamini kwamba kwa vile kazi umeilipia basi ni yako.
unawezalia mbele ya safari. huu ni ushauri tu.
 
usisahau kuandikiana nani anakuwa mmiliki wa hiyo logo/mark. usiamini kwamba kwa vile kazi umeilipia basi ni yako.
unawezalia mbele ya safari. huu ni ushauri tu.
nashukuru kwa ushauri, asante sana kwa alart
 
karibu sana

Malaika Media
Namanga- Tranic Plaza (behind Best Bites) same complex na nyumbani lounge
0714 021 078

for all you graphic and nimation works, Television and Radio Adverts, Documentaries, Printing and designs
na pia tunafanya video na picha kwenye sherehe mbali mbali yakiwemo maharusi na mikutano

karibu sana
 
Back
Top Bottom