Mchoraji wa Katuni hii ana maana gani?

Mboni iko wazi!

Ni taasisi fulani imepata mtendaji anayetaka sheria ifuatwe but wakongwe wa taasisi wanamuona kizuizi pale wakitaka kuvunja hizo sheria.
 
Mkataba wa Dp World haufai,wao wanataka kumuua padre Kitima.Same meaning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…