No matter how long we live,we will die.
Death is inevitable.
Umetutangulia,nasi twakufuata nyuma.
Nimepata kusoma soma sana katuni zake,tunawavizia wazazi wakimaliza kusoma gazeti(sani)tunaanza varangati na wadogo zangu na kaka zangu nani awe wakwanza kusoma.
EWe kifo hauna huruma -Remi ongala.