Mchoraji wa katuni za Sokomoko

Mchoraji wa katuni za Sokomoko

No matter how long we live,we will die.

Death is inevitable.

Umetutangulia,nasi twakufuata nyuma.

Nimepata kusoma soma sana katuni zake,tunawavizia wazazi wakimaliza kusoma gazeti(sani)tunaanza varangati na wadogo zangu na kaka zangu nani awe wakwanza kusoma.


EWe kifo hauna huruma -Remi ongala.
 
RIP, ila waandishi this time wameongozana sana.
 
Back
Top Bottom