Mchoro maarufu uliosumbua vichwa vya watu

Mchoro maarufu uliosumbua vichwa vya watu

.ata uku haunted homes zipo sana mjumbe sema ss wa aafrika wabish tunakoomaa nazo mpka mauza uza yanatuzoea na ss tunayazoea inshort tuna roho ngum mnoo kuwazid whites

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli Mkuu zipo kama unavyosema watu wanakomaa tu
Halafu huambiwi kama ni haunted unajikuta umeingia tu
Pwani zaidi ndio nimezisikia sana
Wazungu wanafuatilia sana mpaka wana programme za hizo nyumba watu wanaenda kuziangalia na kuona mambo ya ajabu kama baadhi ya vyumba kuwa na baridi kuliko zingine
Au vyombo kuanguka na kurushwa hovyo
Zingine unasikia mpaka sauti za ajabu
Yaani huwa natamani niingie nyumba za hivyo nijipime kidogo [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
.unatamani ukaweke maisha yako rehan kwenye haunted houses

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio rehani ila ni majaribio tu kwani naona wengi wanaingia na kutoka salama
Halafu hiyo mizimu haina tabu kabisa
Kuna watoto pia ambao wanacheza na wewe hide and seek [emoji23][emoji106]

Sent from my iPhone using Tapatalk
.hahahhaa izo hide and seek kwenye haunted house izo usalam mdgo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom