M mama dunia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 420 Reaction score 84 Mar 13, 2015 #1 Hi wadau, Kama unajua mtu ambaye amewahi kuchora mchoro wa kiwanda kidogo eg cha kuproduce bidhaa mbali mbali kama vyakula, maji, nk yani plant layout, format ya kiwanda na related. Thanks
Hi wadau, Kama unajua mtu ambaye amewahi kuchora mchoro wa kiwanda kidogo eg cha kuproduce bidhaa mbali mbali kama vyakula, maji, nk yani plant layout, format ya kiwanda na related. Thanks
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Mar 13, 2015 #2 Nenda SIDO watakusaidia hata hivyo unahitaji tu godauni ambalo lina maji safi ndani na mfumo wa kutoa maji taka na vyumba vya kubadilishia nguo choo kikae mbali
Nenda SIDO watakusaidia hata hivyo unahitaji tu godauni ambalo lina maji safi ndani na mfumo wa kutoa maji taka na vyumba vya kubadilishia nguo choo kikae mbali
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Mar 13, 2015 #3 ni kama ulikuwepo katika mawazo yangu bestito The Boss said: Nenda SIDO watakusaidia hata hivyo unahitaji tu godauni ambalo lina maji safi ndani na mfumo wa kutoa maji taka na vyumba vya kubadilishia nguo choo kikae mbali Click to expand...
ni kama ulikuwepo katika mawazo yangu bestito The Boss said: Nenda SIDO watakusaidia hata hivyo unahitaji tu godauni ambalo lina maji safi ndani na mfumo wa kutoa maji taka na vyumba vya kubadilishia nguo choo kikae mbali Click to expand...
E Edmund Senior Member Joined Jul 17, 2009 Posts 123 Reaction score 62 Mar 14, 2015 #4 ladyfurahia said: ni kama ulikuwepo katika mawazo yangu bestito Click to expand... tangazo bingo nije nifanye kazi!
ladyfurahia said: ni kama ulikuwepo katika mawazo yangu bestito Click to expand... tangazo bingo nije nifanye kazi!