mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hi wadau,
Kama unajua mtu ambaye amewahi kuchora mchoro wa kiwanda kidogo eg cha kuproduce bidhaa mbali mbali kama vyakula, maji, nk yani plant layout, format ya kiwanda na related.
Thanks