King Mukhil
Member
- Oct 15, 2017
- 14
- 7
Ndala hukanyagwa mkuu.Nimekuwa nikiona mchoro wa picha ya NDALA pale timu ya Dar es salaam Youngs Africa inapoandikwa katika magezeti kama ALAMA ya uwakilishi wa timu hiyo..
Kama mpenzi wa klabu ya YANGA na soka la Tanzania Kwa ujumla nashindwa kuelewa picha ya ndala inawakilisha ujumbe gani Kwa klabu hiyo.
Lakini zaidi ya yote asili yake ni nini na waandishi walianza lini kutuimia kama lugha ya picha kwa vijana hao wa jangwani..?
Naomba kupata uwelewa wa hili..
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Manake Ndala yake Chooni tuNimekuwa nikiona mchoro wa picha ya NDALA pale timu ya Dar es salaam Youngs Africa inapoandikwa katika magezeti kama ALAMA ya uwakilishi wa timu hiyo..
Kama mpenzi wa klabu ya YANGA na soka la Tanzania Kwa ujumla nashindwa kuelewa picha ya ndala inawakilisha ujumbe gani Kwa klabu hiyo.
Lakini zaidi ya yote asili yake ni nini na waandishi walianza lini kutuimia kama lugha ya picha kwa vijana hao wa jangwani..?
Naomba kupata uwelewa wa hili..
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Na lile Bwawa la maji machafu pale nje ya Jengo lenu la Mkopo hilo jina la Chura litawafaa sana aiseeTunakaribia kubadili hiyo logo, kutoka ndala kwenda CHURA
weka picha bhana,