Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Dar inawahuni wengi akiwemo Diamond anazaa zaa ovyo tu
Eti wadau kati ya Dar na Arusha wapi kuna wahuni wengi?
Wapi kunaongoza kwa matukio ya kikatili ikiwemo kuchomana bisibisi nyembe nk?
Mi mwenyewe nmebaki nashangaa tu.nlitegemea watu waseme mchuano wa mawazo ya kijasilia mali na changamoto za vijana wanao maliza chuo na uwepo wa fursa kati ya dar es salaam na arusha
mwisho tunakuja changia vitu vya kipumbavu na kisen*g*..
uhuni unakusaidia nini katika maisha yako au unakupa ela nyingi kama bakresa

uyu dogo si shoga..chalii anguMi mwenyewe nmebaki nashangaa tu.