Mchuano mkali; Kati ya Arusha na Dar wapi kuna wahuni wengi?

Mchuano mkali; Kati ya Arusha na Dar wapi kuna wahuni wengi?

Arusha ni wavuta bangi kama mara tu... hakuna wahuni.

Wahuni wapo town wewe... ushaona wap muhuni ankaa... kijijini.... njoo danta.. kuna wahuni had wa serikali....

No shobo.
 
Uhuni una faida gani?

Ukijua ndyo kunaongeza nini?

Tunajifunza nini hasa tukijua dar au arusha ndyo kuna wahuni?

Sasa tuwe tunajadili vyenye faida muda mwingne.
 
Hujaitwa.
Sijaitwa kwani nani umemuita?

Umepost hapa jf maana kila mmoja mhusika wa mada ziendleazo hapa.

Unaonaje ukawatag wale ambao unaona wanafaa kuwa wachangiaji wa mada zako?

Siku nyingne waite wale wenye kutaka kuchangia mada zako la sivyo ukipost na mimi naja.
 
sasa usinipangie cha kupost
Nani kakupangia cha kupost?

Sijakupangia

Na wewe usiniambie haujaniita kwa kuwa sijakupangia pia.. Ila nimehoji kuna faida gani ya uhuni, au ukijua dar au arusha nani anaongoza kuna faida gani?

Ulitakiwa uje na hoja kunipinga ila umereact kanakwamba sistahili kujadili wakati umepost jf kila mtu anastahili kuleta hoja yake.

Unapotea
 
Back
Top Bottom