pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Huyo Dada mweupe asikubali kupigana na huyo mkenya siyo jike ni jidumeWakenya mpo??? Tumpe dada yetu support wakati atakapokuwa akimchinja chinja huyu mmexican.
Too late. Belt anayo Fatuma Zarika baada ya kumbwaga mmexican jana jioni. Yiemi ndiye aliyemchallenge, world title ya WBC ameishikilia Fatuma kwa miaka mitatu sasa.Huyo Dada mweupe asikubali kupigana na huyo mkenya siyo jike ni jidume
Musa Zarika, kakake Fatuma alinyakua belt jana pia, baada ya kumgaragaza mghana.Aisee hongera zake bondia wetu fatumaa! Alimpa huyu "mswahili" wa mexico kipigo cha mbwa koko mazee....tunazidi kutamba kote kote[emoji123] [emoji123] [emoji106] [emoji471] [emoji3]
Ukitaka avae dera aje nalo Kwa ring? Mbona una Akili za panya?Huyu ni mwanaume!!?! hahahahahaha
Jana usiku Fatuma Zarika aliibuka mshindi dhidi ya mzambia Catherine Phiri, belt na title ya WBC World Super Bantamweight Champion bado ameishikilia. Kwa mwaka wa nne sasa.
AVATAR