Mchuano Wa Kukumbukwa, Nairobi Fight Night: Fatuma 'Ironfist' Zarika Vs. Yamileth 'Yeimi' Mercado

Mchuano Wa Kukumbukwa, Nairobi Fight Night: Fatuma 'Ironfist' Zarika Vs. Yamileth 'Yeimi' Mercado

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Wakenya mpo??? Tumpe dada yetu support wakati atakapokuwa akimchinja chinja huyu mmexican.
Dl_ZbGOWwAE_OBK.jpg
ZARIKA-VS-MERCADO-ART.jpg
 
Fatuma Zarika anashikilia title ya WBC World Super Bantamweight ambayo alii'defend' mwaka jana alipomenyana na Catherine Phiri wa Zambia. Huyu dada anaweza, tarehe nane lazima Yeimi aone kivumbi, ni pale KICC, COMESA grounds kuanzia 6PM.
 
Fatuma retained her WBC World Super Bantamweight title belt last night. She has held the world boxing title since 2016.
ZARIKA-PUNCH.jpg
ZARIKA-WIN.jpg
kenyas-fatuma-zarika-celebrates-after-winning-against-mexicos-on-8-picture-id1029410710
 
Aisee hongera zake bondia wetu fatumaa! Alimpa huyu "mswahili" wa mexico kipigo cha mbwa koko mazee....tunazidi kutamba kote kote[emoji123] [emoji123] [emoji106] [emoji471] [emoji3]
 
Huyo Dada mweupe asikubali kupigana na huyo mkenya siyo jike ni jidume
Too late. Belt anayo Fatuma Zarika baada ya kumbwaga mmexican jana jioni. Yiemi ndiye aliyemchallenge, world title ya WBC ameishikilia Fatuma kwa miaka mitatu sasa.
 
Aisee hongera zake bondia wetu fatumaa! Alimpa huyu "mswahili" wa mexico kipigo cha mbwa koko mazee....tunazidi kutamba kote kote[emoji123] [emoji123] [emoji106] [emoji471] [emoji3]
Musa Zarika, kakake Fatuma alinyakua belt jana pia, baada ya kumgaragaza mghana.
 
4b0d3db1b29cbdb3.jpg
Jana usiku Fatuma Zarika aliibuka mshindi dhidi ya mzambia Catherine Phiri, belt na title ya WBC World Super Bantamweight Champion bado ameishikilia. Kwa mwaka wa nne sasa.
 
Back
Top Bottom