Mchuano wa kununua tiketi za fainali ni mkali sana

Kuna dalili za milango kuwa wazi siku hiyo..yaani free
 
Timu ya wasanii, janja janja nyingi. Kwa hiyo mnaringia kufeli mara nne, mnahesabu kuwa mafanikio? Mheshimiwa Rage apewe maua yake!!
Wacha kutugombanisha Mkuu, unajua tukisema tuwavunjie nazi hiyo fainali yenu mtaishia kupigwa nje ndani.

Sisi ni Kaka zenu kwa mafanikio ya Kimataifa πŸ’ͺ
 
Hivi mnajisikiaje kila siku unarisiti tu mtihani halafu unachokipata ndio kile kile hauongezi kitu kuvuka mbele. Shida ni nini?
Kwani nyie tangu mmeanza kucheza Kimataifa si mlikuwa mnaishia makundi Mkuu, sisi kila Mwaka graph yetu inazidi kupaa ndiyo maana ukizitaja Klabu 15 zenye mafanikio Kimataifa basi Huikosi Simba Sports Club πŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…