Mchuano wa kununua tiketi za fainali ni mkali sana

Kwani nyie tangu mmeanza kucheza Kimataifa si mlikuwa mnaishia makundi Mkuu, sisi kila Mwaka graph yetu inazidi kupaa ndiyo maana ukizitaja Klabu 15 zenye mafanikio Kimataifa basi Huikosi Simba Sports Club [emoji123]
Timu 15 zenye mafanikio kimataifa unasema hauokosi Simba, kwa makombe mangapi aliyabeba ya CAF mpaka awe kwenye timu 15 zenye mafanikio? Au unadhani kuwa kwenye caf rank ndio mafanikio hayo?
 
Mbona haipo Yanga kwenye hizo ranks kama unadhani rahisi hivyo 😅
 
Mbona haipo Yanga kwenye hizo ranks kama unadhani rahisi hivyo [emoji28]
Mangungu alikuwa sahihi kuwaletea Manzoki kwenye uchaguzi. Kama mashabiki ndio mnaridhika na vitu vidogo kama hivyo na mwisho rank zenu hazina maana. Yanga akibeba kombe atakuwa kawaacha mbali kwenye mafanikio na mbakie kutamba na kombe la rannk
 
Nawaombea mshinde na kuleta heshima ya Nchi.

Kila la kheri Mtani 👏
 
Back
Top Bottom