changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Timu 15 zenye mafanikio kimataifa unasema hauokosi Simba, kwa makombe mangapi aliyabeba ya CAF mpaka awe kwenye timu 15 zenye mafanikio? Au unadhani kuwa kwenye caf rank ndio mafanikio hayo?Kwani nyie tangu mmeanza kucheza Kimataifa si mlikuwa mnaishia makundi Mkuu, sisi kila Mwaka graph yetu inazidi kupaa ndiyo maana ukizitaja Klabu 15 zenye mafanikio Kimataifa basi Huikosi Simba Sports Club [emoji123]