Wale tuliomaliza form six mwaka huu na hatujaitwa awamu yeyote ile...tunakumbuka ilikuwa ni hivi kwanza zilichaguliwa shule watu wakaend ..pili aaaah waliopata 1&2 pamoja na 3 sayansi tukabaki na leo hii mchujo umekua alfabeti....ni hivi "kibaha tuchukue hadi Z afuu lyamungo tuishie J".....unajua kwanini j ...tulikuwa shazi ya mtuu kaa 420 hivi ni hatari.
Ndio hawa wanaleta mambo ya facebook huku.Majanga!!! Hivi wewe ni form six?!!!.
Kweli inatia shaka.........Majanga!!! Hivi wewe ni form six?!!!.