Mchujo kujiunga jkt

Mchujo kujiunga jkt

Karibu sana JF...

Peleka Jukwaa la Elimu
 
Wale tuliomaliza form six mwaka huu na hatujaitwa awamu yeyote ile...tunakumbuka ilikuwa ni hivi kwanza zilichaguliwa shule watu wakaend ..pili aaaah waliopata 1&2 pamoja na 3 sayansi tukabaki na leo hii mchujo umekua alfabeti....ni hivi "kibaha tuchukue hadi Z afuu lyamungo tuishie J".....unajua kwanini j ...tulikuwa shazi ya mtuu kaa 420 hivi ni hatari.

Majanga!!! Hivi wewe ni form six?!!!.
 
karibu Jf.

ila nina mashaka na wewe sio form six., utakuwa class 7
 
Back
Top Bottom