Mchujo TFF:Ali Mayai apeta,Malinzi afungaishe

SUMU YA MALINZI HAIWEZI MWACHA MTU SALAMA HATA MAYAI ANAJUA ANASINDIKIZA
 
Malinzi hana sifa zakuendelea kuwa rais wa tff.apishe wengine tuu.
 
Ningependa Mayay awe rais...ila naogopa sana akishindwa leta maendeleo maana ninamuelewa sana jamaa.Asije tu kuwa nae anaongozwa na njaa
 
Akishindwa kuleta maendeleo tunamtupilia mbali.

Tanzania tunavichwa karibia 50 millions.
 
Ningependa Mayay awe rais...ila naogopa sana akishindwa leta maendeleo maana ninamuelewa sana jamaa.Asije tu kuwa nae anaongozwa na njaa
Anashinda asubuhi kweupe. Msiwasikilize hawa watu humu ambao njaa zimehamia kichwani. Yaani kweli mpenda soka unamtetea malinzi!!!!!!!
 
Nyie ndio mna njaa mpaka imewatia upofu na unafiki kwa kutokuona mambo mazuri ya Malinzi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…