ahmad hussein
Member
- Jun 15, 2017
- 12
- 3
Alli anatakiwa acheze vizuri karata zake hasa kwa wajumbe wenye haki ya kupiga kura, aachane na sisi tunaomkubali lakini sio wapiga kura.Aondoke tu kwa kweli. Bora enzi zile za Tenga L. C. Mara elfu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alli anatakiwa acheze vizuri karata zake hasa kwa wajumbe wenye haki ya kupiga kura, aachane na sisi tunaomkubali lakini sio wapiga kura.Aondoke tu kwa kweli. Bora enzi zile za Tenga L. C. Mara elfu moja
MCHUJO UCHAGUZI MKUU TFF
Wakati majina 73 yakipita katika hatua ya awali,mgombea tishio Ali Mayai amepita kihunzi hicho. Mwanasoka Ali Mayai wamekuwa akiiundiwa mazengwe na timu ya fitna ya Malinzi ambayo imekosa sababu za kuendelea uongozini.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF imechuja jina la Abdallah Mussa katika orodha ya wagombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi ujao wa shirikisho. Sababu za kukata jina la Mussa ambaye alikuwa anawania nafasi ya Ujumbe kutoka Kanda Na. 1 ya mikoa ya Kagera na Geita ni kutoambatanisha kivuli cha cheti cha kidato cha nne kwa mujibu wa kanuni ya 9 inayozungumzia sifa nane za kuwania uongozi TFF. Katika majina hayo 73, majina 10 ni wale wanaowania urais, makamu rais sita na wajumbe wa kamati ya utendaji 57.
Wagombea wote hapo juu wanatakiwa kufika kwenye usaili utakaofanyika kuanzia Juni 29, 2017 hadi Julai 1, mwaka huu katika ofisi za TFF Karume, Dar es Salaam kuanzia saa 4.00 asubuhi wakiwa na nyaraka halisi za viambatisho vyote walivyoweka kwenye fomu za maombi. Vyeti vya elimu ya Sekondari viwe vya Baraza la Mitihani (NECTA
Sifa moja kuu ya Ali alipata bashite form sixZitaje hizo sifa zake hapa pamoja na CV yake.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
samahani mkuu wewe ni kabila gani??Malinzi ndio Tumaini la maendeleo wa mpira wa bongo ndipo lilipo.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ndugu kila sehemu upo unamtetea malinzi... Inaonekana mlikuwa mnakula wote
haaa haasamahani mkuu wewe ni kabila gani??
Sifa moja kuu ya Ali alipata bashite form six
Akishindwa kuleta maendeleo tunamtupilia mbali.Ningependa Mayay awe rais...ila naogopa sana akishindwa leta maendeleo maana ninamuelewa sana jamaa.Asije tu kuwa nae anaongozwa na njaa
Anashinda asubuhi kweupe. Msiwasikilize hawa watu humu ambao njaa zimehamia kichwani. Yaani kweli mpenda soka unamtetea malinzi!!!!!!!Ningependa Mayay awe rais...ila naogopa sana akishindwa leta maendeleo maana ninamuelewa sana jamaa.Asije tu kuwa nae anaongozwa na njaa
Hata wakina Hashim Rungwe na Dovutwa waligombea Urais mpaka hatua ya mwisho.Haya maswali
mengine ya kipuuz sasa kama yupo miongoni mwa kumi maana yake si anazo sifa.
Kwa utendaji wake uliotukuka ambao nyie wenye chuki nae hamuwezi kuuona.Malinzi atashinda kwa pesa
Yamekuwa hayo tena,yaani mimi kumkubali Malinzi kwa tendaji wake unaniuliza kabila mbona nyie wa Mayai hatuwaulizi kabila?samahani mkuu wewe ni kabila gani??
Malinzi amefanya mambo makubwa sana kwa maendeleo ya soka letu na anahitaji muda zaidi kukamilisha aliyoyaanza.Malinzi hana sifa zakuendelea kuwa rais wa tff.apishe wengine tuu.
Namtetea kwa kazi yake kubwa nzuri iliyotukuka kwa maendeleo ya soka letu.Ndugu kila sehemu upo unamtetea malinzi... Inaonekana mlikuwa mnakula wote
Nyie ndio mna njaa mpaka imewatia upofu na unafiki kwa kutokuona mambo mazuri ya Malinzi.Anashinda asubuhi kweupe. Msiwasikilize hawa watu humu ambao njaa zimehamia kichwani. Yaani kweli mpenda soka unamtetea malinzi!!!!!!!