Ebu yaorodheshe ayo mambo makubwa aliyofanya uyo mkabila.au ndio yale yakuhama ofisi ya tff nakwenda kupanga?ndio mambo makubwa ayo?Malinzi amefanya mambo makubwa sana kwa maendeleo ya soka letu na anahitaji muda zaidi kukamilisha aliyoyaanza.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Unaposema TFF siyo sehemu ya kufanyia majaribio Malinzi Alikuwa na uzoefu wa Ndondi na cyo football mbona mlimpatia urais?? Au kuwa katibu tu wa YANGA kulitosha?? Basi Mayai pia uzoefu ataupatia hapo hapo TFF uzoefu alioupata akiwa mchezaji na kiongozi ndani ya YANGA na kuwa mwanahabari kunatosha kabisa kuwa Rais wa TFF ana maono na utashi Kwa kuliongoza soka letu Tenga katuacha nafas ya 115 Leo tuko nafas ya 140 sasa tunapanda au tunashuka?? Pesa za Fifa Kipindi cha Tenga zilifanya vitu vilivyoonekana lakini kwa malinzi Pesa zote hazijulikani zinafanya nini na Kila siku TRA wanaweka makufuli pale Karume, Kipindi cha Tenga sikuwahi kuona team ya Taifa ikishushwa na gari kuchukuliwa kwa kudaiwa kodi hela zinakwenda wapi?? Kipindi cha Tenga TFf hakukuwa na ukabila Lakini Malinzi ameifanya TFF kuwa na viongozi wa mkoa mmoja na Kabila moja, kwa kifupi Malinzi amefeli 100% ni muda wa kuondoka arudi kwenye ndodiTFF sio sehemu ya majaribio...soka letu sio panya wa maabara. Malinzi ameshauthibitishia umma kuwa anao uwezo wa kuhakikisha soka linapigwa uwanjani na si mezani. Na sasa anaenda kupiga hatua ya pili
Usikariri kijana!Kama hamjui nini Malinzi alitakiwa kufanya pale TFF ni kuonesha upungufu mkubwa wa uweledi. Kwa mfano ligi inaenda kwa mizengwe, Timu ya taifa haifanyi vizuri, maelewano na BMT ni mdogo, ukuzaji vipaji kutoka ngazi za chini ni mdogo, tunaacha kuendeleza viwanja vya kimkakati afu tunaenda kuweka nyasi bandia Kaitaba na kuacha Mwz, Jamhuri, n,k. Malinzi huyu alihamisha ofisi za TFF Karume akapeleka Posta tena kukodi kwa hela ya kuendeleza michezo hadi FIFA walivyomtimua kumrudisha tena Karume. Ujinga mtupu.
Afu watu wenye akili mnasema Malinzi angefanya nini? Dr Myles Munroe ktk Vitabu vyake amesema "Where purposes is not known, abuse is inevitable " mwisho wa kunukuu. Tena mahali pengine akasema "Indecisiveness and poor planning comes from lack of vision" Hayo yote ndo matatizo aliyonayo Malinzi
Wapi wewe. Malinz kaharibu. Ww njaa tuuTFF sio sehemu ya majaribio...soka letu sio panya wa maabara. Malinzi ameshauthibitishia umma kuwa anao uwezo wa kuhakikisha soka linapigwa uwanjani na si mezani. Na sasa anaenda kupiga hatua ya pili
Mimi muhaya..kwan kuna tatzo?samahani mkuu wewe ni kabila gani??
Wewe hata jina linakutambulisha kutoka kanda zile tupa kule. Malinzi hafai hata ujumbe wa saccosKwa utendaji wake uliotukuka ambao nyie wenye chuki nae hamuwezi kuuona.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kaz hio iko wapiNamtetea kwa kazi yake kubwa nzuri iliyotukuka kwa maendeleo ya soka letu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Makavu bila nyege...kwel malinz hatufai hata wanaomtetea wanajua. Ni njaa zao tu kwa kwel lakn ukwel haujifichi malinzi kafeli. Na endapo atashinda nitaiomba takukuru ifuatilie maana milungula itakua imetenda kazUnaposema TFF siyo sehemu ya kufanyia majaribio Malinzi Alikuwa na uzoefu wa Ndondi na cyo football mbona mlimpatia urais?? Au kuwa katibu tu wa YANGA kulitosha?? Basi Mayai pia uzoefu ataupatia hapo hapo TFF uzoefu alioupata akiwa mchezaji na kiongozi ndani ya YANGA na kuwa mwanahabari kunatosha kabisa kuwa Rais wa TFF ana maono na utashi Kwa kuliongoza soka letu Tenga katuacha nafas ya 115 Leo tuko nafas ya 140 sasa tunapanda au tunashuka?? Pesa za Fifa Kipindi cha Tenga zilifanya vitu vilivyoonekana lakini kwa malinzi Pesa zote hazijulikani zinafanya nini na Kila siku TRA wanaweka makufuli pale Karume, Kipindi cha Tenga sikuwahi kuona team ya Taifa ikishushwa na gari kuchukuliwa kwa kudaiwa kodi hela zinakwenda wapi?? Kipindi cha Tenga TFf hakukuwa na ukabila Lakini Malinzi ameifanya TFF kuwa na viongozi wa mkoa mmoja na Kabila moja, kwa kifupi Malinzi amefeli 100% ni muda wa kuondoka arudi kwenye ndodi
Huna point wewe. Umezidiwa. Malinz ni janga la mpira wetu bongo. Hao wapiga kura watakua wanatenda dhambi kubwa kumrudisha huyu kirusi ndani ya gameUsikariri kijana!
Unaposema TFF siyo sehemu ya kufanyia majaribio Malinzi Alikuwa na uzoefu wa Ndondi na cyo football mbona mlimpatia urais?? Au kuwa katibu tu wa YANGA kulitosha?? Basi Mayai pia uzoefu ataupatia hapo hapo TFF uzoefu alioupata akiwa mchezaji na kiongozi ndani ya YANGA na kuwa mwanahabari kunatosha kabisa kuwa Rais wa TFF ana maono na utashi Kwa kuliongoza soka letu Tenga katuacha nafas ya 115 Leo tuko nafas ya 140 sasa tunapanda au tunashuka?? Pesa za Fifa Kipindi cha Tenga zilifanya vitu vilivyoonekana lakini kwa malinzi Pesa zote hazijulikani zinafanya nini na Kila siku TRA wanaweka makufuli pale Karume, Kipindi cha Tenga sikuwahi kuona team ya Taifa ikishushwa na gari kuchukuliwa kwa kudaiwa kodi hela zinakwenda wapi?? Kipindi cha Tenga TFf hakukuwa na ukabila Lakini Malinzi ameifanya TFF kuwa na viongozi wa mkoa mmoja na Kabila moja, kwa kifupi Malinzi amefeli 100% ni muda wa kuondoka arudi kwenye ndodi
Kaharibu ubingwa msimbazi?Wapi wewe. Malinz kaharibu. Ww njaa tuu
Mbona pOoVuu kama mama chiku na sabuni ya Family? Mimi nilikuwa tu namjibu mdau aliyesema 'Mayay apishe AJARIBU'. Msiwe na hasira kama za Manara jamani, tutaharibu hali ya hewa. Angalia chanzo cha hoja yanguUnaposema TFF siyo sehemu ya kufanyia majaribio Malinzi Alikuwa na uzoefu wa Ndondi na cyo football mbona mlimpatia urais?? Au kuwa katibu tu wa YANGA kulitosha?? Basi Mayai pia uzoefu ataupatia hapo hapo TFF uzoefu alioupata akiwa mchezaji na kiongozi ndani ya YANGA na kuwa mwanahabari kunatosha kabisa kuwa Rais wa TFF ana maono na utashi Kwa kuliongoza soka letu Tenga katuacha nafas ya 115 Leo tuko nafas ya 140 sasa tunapanda au tunashuka?? Pesa za Fifa Kipindi cha Tenga zilifanya vitu vilivyoonekana lakini kwa malinzi Pesa zote hazijulikani zinafanya nini na Kila siku TRA wanaweka makufuli pale Karume, Kipindi cha Tenga sikuwahi kuona team ya Taifa ikishushwa na gari kuchukuliwa kwa kudaiwa kodi hela zinakwenda wapi?? Kipindi cha Tenga TFf hakukuwa na ukabila Lakini Malinzi ameifanya TFF kuwa na viongozi wa mkoa mmoja na Kabila moja, kwa kifupi Malinzi amefeli 100% ni muda wa kuondoka arudi kwenye ndodi
hakuna tatizo mkuuMimi muhaya..kwan kuna tatzo?