Kama hamjui nini Malinzi alitakiwa kufanya pale TFF ni kuonesha upungufu mkubwa wa uweledi. Kwa mfano ligi inaenda kwa mizengwe, Timu ya taifa haifanyi vizuri, maelewano na BMT ni mdogo, ukuzaji vipaji kutoka ngazi za chini ni mdogo, tunaacha kuendeleza viwanja vya kimkakati afu tunaenda kuweka nyasi bandia Kaitaba na kuacha Mwz, Jamhuri, n,k. Malinzi huyu alihamisha ofisi za TFF Karume akapeleka Posta tena kukodi kwa hela ya kuendeleza michezo hadi FIFA walivyomtimua kumrudisha tena Karume. Ujinga mtupu.
Afu watu wenye akili mnasema Malinzi angefanya nini? Dr Myles Munroe ktk Vitabu vyake amesema "Where purposes is not known, abuse is inevitable " mwisho wa kunukuu. Tena mahali pengine akasema "Indecisiveness and poor planning comes from lack of vision" Hayo yote ndo matatizo aliyonayo Malinzi