KABISA PROOVEDKuna magonjwa mengi sana ya akili duniani. Hilo lililompata ni mojawapo.
Sasa amua kukaa na mgonjwa wa akili ama uepukane naye mapeema.
Unforgetable
[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
asipokuelewa hapa basi tenaBulaza unaelekea kufeli mda sio mrefu. Nakushauri kaa na huyo binti mwambie unataka kumuoa. Ameshabadilisha lifestyle ila cha kushangaza wewe bado uko kwenye maisha yako ya Misri wakati yeye anajitahidi kuisogelea Kanaani. Ukimtangazia ndoa huyo binti utajikuta unajipokelea mibaraka mingi sana kwa sababu kwanza mlikuwa wote Misri na ye ameshaonesha nia na dhamira halisi ya kubadilika. Angalizo la msingi, ukikubali kumuoa lazima ujipange kubadilisha maisha haya unayoishi sasa. Lazima uwe mtu wa church na mengineyo. Huyo binti mzuri wala usimuone boya.
Muache wajanja wamchukue halafu uone wanavyotambalia nyota. Utafeli huku unakuja kusoma hii post yangu unalia. Nisikilize mimi mzee Baba. Shauri yako.
Mi nilishanawa mikono Bulazaasipokuelewa hapa basi tena
Aaah,hapana ni rafiki yangu mmewe anahilo tatizo sasa niliona nijifanye mimi ili iwe rahis maana ngesema rafiki yangu bas watu wangeanza kuhoji kama unavoijua jf ila nilimpa majibu kama nilopewa make na mimi aliniomba ushauri
Mmh!Hatukatai unabii sema inabid kubalance biblia yenyewe ukichukua yote ya mle mambo yanaeza yakawa magumu kwa kias fulan ko kubalance ni muhimu
Mwaka wa tatuSafi; mpo vizuri na rafiki ako. Una miaka mingapi kwenye ndoa? (Samahani lakini)
Hahahaahhahahaah nimecheka sanaa wewe ni kichaa sanaaa.Kama hapo ni kwako akienda kanisani muite fundi badilisha kitasa kisha utafute sehemu ukalale hata siku mbili. Akija akikuta mabadiliko atarudi kwa mitume wake ataondoka akirudi ni kuchukua vitu vyake ataenda kukaa na wenzake gheto. Hakuna watu wanasengenyana kama hao walokole. Mfukuze huyo.
[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Kiongozi
Nionanvyo mimi huyo dada anakupenda sana wala huo ulokole sio sababu ya kukuacha/kumuacha
Kitu alichoshtukia, ni kuwa watu wengi wanaokuwa kwenye mahusiano ya kuishi nyumba moja zaidi ya mwaka bila ndoa huishia kuachana...
Hivyo
1. Dada wa watu anahitaji ndoa kwani ana amini kuendelea kukupa penzi ni kukufanya usione umuhimu wa kuoa
2. Mlokole asiyekupenda hawezi kuishi nyumba moja na wewe
3. Tangazo ndoa halafu mtafutie cha kufanya, hautajutia. Huo mpango wa kando ukijichanganya utakuja hapa kuomba ushauri...