sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Hahaha kaburi limefukuliwa.
Tatizo watu waongo halafu hawatunzi kumbukumbu. Yani mtu asubuhi ni mvulana jioni ametransform kuwa mschana[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kaburi limefukuliwa.
Hahaha kaburi limefukuliwa.
Tatizo watu waongo halafu hawatunzi kumbukumbu. Yani mtu asubuhi ni mvulana jioni ametransform kuwa mschana[emoji3]
Huyo nabii atakuwa anamnyandua, sio bure! Mkuu mkimbie huyo demu chapNimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.
Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani hivi mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu hata mie nili hustle sanaa kumpata.
Hivi karibuni sijui alikutana na nabii gani huko mitaani akambadilisha, kwa hakika hawa mitume na manabii wa mitaani wana nguvu na ushawishi kwa watu wenye roho nyepesi na za uoga, ni nabii ndio kambadilisha mind set huyu mwanamke, kawa mjinga wa mwisho duniani, yaani ujinga unapoishia ndio yeye anapoanzia.
Mwanzo niliichukulia poa, nikasema ni kitu kizuri kuwa na mke mchaMungu na hata mie nitakua free sanaa na michongo itazidi kumiminika sababu kubwa la maadui liko kwenye maombi kuninyooshea njia.
Vituko vikaanza akaanza kugoma kushiriki sex kama masikhara, kwanza haikua serious niliona kama akigoma usiku basi asubuhi anatoa, akigoma leo kesho ananipa fresh mno, baadae akaanza kugoma jumla na kufikia hapo nikasema sasa rasmi hapa hakuna mke tena.
Anasali sanaa, status anaweka kwaya masaa 24 na amebadili mavazi na mtazamo, nikimtext meseji zetu zile za kumuamsha hisia ni anachukia balaa, siku moja nusu aniue kwa hasira tulikua tumekaa nae na nikamgusia namna k. yake ilivyo amaizing, vitu ambavyo hapo mwanzo ilikuwa kawaida yetu kuvizungumza as unajua wapenzi wanavyokuaga.
Sasa mgomo moto ukaendelea, ule mgomo sio baridi, sasa nikaanza kuona drama zimekua nyingi na ndani naonekana kama mimi ni li freemason lenye mapepo, nahisi nabii alimwambia hivyo.
Nikajisemea huyu mwanamme sasa hivi ni gaidi la ki kristo, isis kabisa, so hanijui nadhani mie ndio papa Benedikto namba 16, basi nikampigia simu mchepuko wangu tena toto zurii zurii haswa halafu bado dogo tu, basi akantuliza bibie mie niseme nini nisipewe ee, narudi zangu home huko nilikotoka nimejilia vyangu mpaka naloweka, nikizusha safari za mikoani kikazi siku moja aaah mama katekista wala hana noma kwanza ndio ana furahi hakuna usumbufu.
Sasa imepita muda kidogo since nijisumbue nae kuomba game na simuombi wala kumwambia chochote, yeye ndio kwanza hata hastuki zaidi ana nipongeza kwa kuweza kumvumilia na kulishinda pepo la ngono,sad, juzi wakati ananipa pongezi hizo kidogo nimtukane tusi zito ili abebe na vitu vyake kabisa aamshe hapo home.
Kila nikimuangalia naiona dhamira yake ni nzuri sanaa na anacho kifanya ni kizuri kwa uzima wake wa milele, ila anakosea kwenye approaches, na mie sitaki tena kuongea nimechoka, nimempeleka places nikaongea nae kwa kirefu na kumwambia mipango yangu kwake na ofcoz sikuona mwingine wa kuoa na nikamwambia kila jambo liwe na kiasi, anakwambia ameelewa, tukirudi nyumbani yale yale tu, this is too much na sitaki tena ushauri wa mtu.
Nimetoa kama ushuhuda tu na sijui wenzangu mliweza kuyapita vipi maswaibu kama haya na too bad kadri siku zinavyokwenda ndio bora ya jana na ndio kwanza anaenda kukesha na kwenye masemina ndio kazi yake, na hana kazi huyu. Mchepuko kayajua haya madhaifu sasa ndio kama anafanyia sifa, siombi napewa, nnalishwa na mtoto ni screamer, naughty and wild.
Natamani mlokole wangu aniambie "baby its over" nitafanya bonge la party.
Nyie wadau labda mnipe ushauri namtoa vipi huyu katekista wa kike ndani kwangu aje huyu mama yenu mdogo wa pembeni tulisongeshe.
Taabu tupuMchungaji akihubiri acha dhambi; utaambiwa wake zetu wanawasikiliza sana Wachungaji; as if Wachungaji wana Biblia zao binafsi tofauti na hizi za kwetu tunazobebaga jumapili na, wengine kuziweka chini ya mito tunavyolala ili tusikabwe na majini heheeh
Mkuu mimi nimekaa na walokolee sana.Nimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.
Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani hivi mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu hata mie nili hustle sanaa kumpata.
Hivi karibuni sijui alikutana na nabii gani huko mitaani akambadilisha, kwa hakika hawa mitume na manabii wa mitaani wana nguvu na ushawishi kwa watu wenye roho nyepesi na za uoga, ni nabii ndio kambadilisha mind set huyu mwanamke, kawa mjinga wa mwisho duniani, yaani ujinga unapoishia ndio yeye anapoanzia.
Mwanzo niliichukulia poa, nikasema ni kitu kizuri kuwa na mke mchaMungu na hata mie nitakua free sanaa na michongo itazidi kumiminika sababu kubwa la maadui liko kwenye maombi kuninyooshea njia.
Vituko vikaanza akaanza kugoma kushiriki sex kama masikhara, kwanza haikua serious niliona kama akigoma usiku basi asubuhi anatoa, akigoma leo kesho ananipa fresh mno, baadae akaanza kugoma jumla na kufikia hapo nikasema sasa rasmi hapa hakuna mke tena.
Anasali sanaa, status anaweka kwaya masaa 24 na amebadili mavazi na mtazamo, nikimtext meseji zetu zile za kumuamsha hisia ni anachukia balaa, siku moja nusu aniue kwa hasira tulikua tumekaa nae na nikamgusia namna k. yake ilivyo amaizing, vitu ambavyo hapo mwanzo ilikuwa kawaida yetu kuvizungumza as unajua wapenzi wanavyokuaga.
Sasa mgomo moto ukaendelea, ule mgomo sio baridi, sasa nikaanza kuona drama zimekua nyingi na ndani naonekana kama mimi ni li freemason lenye mapepo, nahisi nabii alimwambia hivyo.
Nikajisemea huyu mwanamme sasa hivi ni gaidi la ki kristo, isis kabisa, so hanijui nadhani mie ndio papa Benedikto namba 16, basi nikampigia simu mchepuko wangu tena toto zurii zurii haswa halafu bado dogo tu, basi akantuliza bibie mie niseme nini nisipewe ee, narudi zangu home huko nilikotoka nimejilia vyangu mpaka naloweka, nikizusha safari za mikoani kikazi siku moja aaah mama katekista wala hana noma kwanza ndio ana furahi hakuna usumbufu.
Sasa imepita muda kidogo since nijisumbue nae kuomba game na simuombi wala kumwambia chochote, yeye ndio kwanza hata hastuki zaidi ana nipongeza kwa kuweza kumvumilia na kulishinda pepo la ngono,sad, juzi wakati ananipa pongezi hizo kidogo nimtukane tusi zito ili abebe na vitu vyake kabisa aamshe hapo home.
Kila nikimuangalia naiona dhamira yake ni nzuri sanaa na anacho kifanya ni kizuri kwa uzima wake wa milele, ila anakosea kwenye approaches, na mie sitaki tena kuongea nimechoka, nimempeleka places nikaongea nae kwa kirefu na kumwambia mipango yangu kwake na ofcoz sikuona mwingine wa kuoa na nikamwambia kila jambo liwe na kiasi, anakwambia ameelewa, tukirudi nyumbani yale yale tu, this is too much na sitaki tena ushauri wa mtu.
Nimetoa kama ushuhuda tu na sijui wenzangu mliweza kuyapita vipi maswaibu kama haya na too bad kadri siku zinavyokwenda ndio bora ya jana na ndio kwanza anaenda kukesha na kwenye masemina ndio kazi yake, na hana kazi huyu. Mchepuko kayajua haya madhaifu sasa ndio kama anafanyia sifa, siombi napewa, nnalishwa na mtoto ni screamer, naughty and wild.
Natamani mlokole wangu aniambie "baby its over" nitafanya bonge la party.
Nyie wadau labda mnipe ushauri namtoa vipi huyu katekista wa kike ndani kwangu aje huyu mama yenu mdogo wa pembeni tulisongeshe.
Ujinga unapoishia wake ndio unapoanzia.. Nigga please [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe sio Mungu kwamba usipomsaidia atakufa. Anaweza akaishi salama bila wewe; ila asiishi salama bila Mungu. Muache arudi kwao, akose hata ya hela bundle afu ndiyo Imani yake itathibika hapo. Akishindwa basi atarudi kwako na ulokole ameuacha, mtaishi kama unavyotaka, hatokuwa na masharti tena. Akiweza kuishinda njaa; atakuwa amechagua fungu jema zaidi. Achana na mambo ya huruma; ni ngumu sana kuishi na mtu asiyeamini unachokiamini, hata wewe mwenyewe utakuja kuchoka tu.
Umeamua kufukua kaburi eeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utataka tu best [emoji23][emoji23]Mweeh[emoji16][emoji16] sitaki mimi jamani
Yawezekana wanazo nyingine, maana sikwakucheka wanawake ujingaMchungaji akihubiri acha dhambi; utaambiwa wake zetu wanawasikiliza sana Wachungaji; as if Wachungaji wana Biblia zao binafsi tofauti na hizi za kwetu tunazobebaga jumapili na, wengine kuziweka chini ya mito tunavyolala ili tusikabwe na majini heheeh
Unakosa pa kuanzia kwani wewe ni samaki ukitolewa ziwani unakufa ebu acha kuwa na akili za Polepole bwana kuringishia watu V8Nimepanga kumwambia hili la mie nisiwe kikwazo chake cha wokovu wa milele, anaweza kuondoka tu sina jinsi, ila nakosa pakuanzia.
Siku ukija kuokoka ndani kwetu utaondoka na ukaolewe na walokole wenzio. Eti mchungaji anatoa mapepo jitu limetoka visiga kote huko halina mapepo kafika kwenye magofu ya UFUFUO NA UZIMA linapandisha mapepo. Ujinga mtupu. Bora uende kusali kawaida usije kuokoka.Sasa Kama.mnaishi wote..SI muoane TU...wewe kinakushinda nini kumuoa mlokole wa watu?.
Nimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.
Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani hivi mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu hata mie nili hustle sanaa kumpata.
Hivi karibuni sijui alikutana na nabii gani huko mitaani akambadilisha, kwa hakika hawa mitume na manabii wa mitaani wana nguvu na ushawishi kwa watu wenye roho nyepesi na za uoga, ni nabii ndio kambadilisha mind set huyu mwanamke, kawa mjinga wa mwisho duniani, yaani ujinga unapoishia ndio yeye anapoanzia.
Mwanzo niliichukulia poa, nikasema ni kitu kizuri kuwa na mke mchaMungu na hata mie nitakua free sanaa na michongo itazidi kumiminika sababu kubwa la maadui liko kwenye maombi kuninyooshea njia.
Vituko vikaanza akaanza kugoma kushiriki sex kama masikhara, kwanza haikua serious niliona kama akigoma usiku basi asubuhi anatoa, akigoma leo kesho ananipa fresh mno, baadae akaanza kugoma jumla na kufikia hapo nikasema sasa rasmi hapa hakuna mke tena.
Anasali sanaa, status anaweka kwaya masaa 24 na amebadili mavazi na mtazamo, nikimtext meseji zetu zile za kumuamsha hisia ni anachukia balaa, siku moja nusu aniue kwa hasira tulikua tumekaa nae na nikamgusia namna k. yake ilivyo amaizing, vitu ambavyo hapo mwanzo ilikuwa kawaida yetu kuvizungumza as unajua wapenzi wanavyokuaga.
Sasa mgomo moto ukaendelea, ule mgomo sio baridi, sasa nikaanza kuona drama zimekua nyingi na ndani naonekana kama mimi ni li freemason lenye mapepo, nahisi nabii alimwambia hivyo.
Nikajisemea huyu mwanamme sasa hivi ni gaidi la ki kristo, isis kabisa, so hanijui nadhani mie ndio papa Benedikto namba 16, basi nikampigia simu mchepuko wangu tena toto zurii zurii haswa halafu bado dogo tu, basi akantuliza bibie mie niseme nini nisipewe ee, narudi zangu home huko nilikotoka nimejilia vyangu mpaka naloweka, nikizusha safari za mikoani kikazi siku moja aaah mama katekista wala hana noma kwanza ndio ana furahi hakuna usumbufu.
Sasa imepita muda kidogo since nijisumbue nae kuomba game na simuombi wala kumwambia chochote, yeye ndio kwanza hata hastuki zaidi ana nipongeza kwa kuweza kumvumilia na kulishinda pepo la ngono,sad, juzi wakati ananipa pongezi hizo kidogo nimtukane tusi zito ili abebe na vitu vyake kabisa aamshe hapo home.
Kila nikimuangalia naiona dhamira yake ni nzuri sanaa na anacho kifanya ni kizuri kwa uzima wake wa milele, ila anakosea kwenye approaches, na mie sitaki tena kuongea nimechoka, nimempeleka places nikaongea nae kwa kirefu na kumwambia mipango yangu kwake na ofcoz sikuona mwingine wa kuoa na nikamwambia kila jambo liwe na kiasi, anakwambia ameelewa, tukirudi nyumbani yale yale tu, this is too much na sitaki tena ushauri wa mtu.
Nimetoa kama ushuhuda tu na sijui wenzangu mliweza kuyapita vipi maswaibu kama haya na too bad kadri siku zinavyokwenda ndio bora ya jana na ndio kwanza anaenda kukesha na kwenye masemina ndio kazi yake, na hana kazi huyu. Mchepuko kayajua haya madhaifu sasa ndio kama anafanyia sifa, siombi napewa, nnalishwa na mtoto ni screamer, naughty and wild.
Natamani mlokole wangu aniambie "baby its over" nitafanya bonge la party.
Nyie wadau labda mnipe ushauri namtoa vipi huyu katekista wa kike ndani kwangu aje huyu mama yenu mdogo wa pembeni tulisongeshe.
Hauna maamuzi wewe ama unakaa kwake. Hao mitume na manabii aisee wanapumbaza sana watu akili. Kuna mmoja anavithomba sana videmu navyo vinaona kama vinatembea na mtu aliyekaribu na mungu. Ukiachilia mbali madawa ya kulevya kutia watu uchizi. Ulokole unafuatia.Ningependa saanaaa na nilishamwambia, ila tulipofikia sitamani tena.
Weweee weweee weweee jamaa ebu kuwa mkweli kaokoka huyu mwanamke wako ama wewe!? Daah ungekuwa karibu ningekuzaba kibao. Mtu hana huruma na wewe unamtakia nini lakini ebu kuwa na akili basi.Muda mwingine namuonea huruma, hana kazi ila ndio yuko deep na dini haswa, nasema ata nikimwambia its over ni atarudi kwao ambako nilimkuta ata hela ya bando tu alikua hana,,,jamani watu wana jisahau ndo namuwazia hapa sasa hela za mahitaji yake atapata vp na wap? Na mie sina mkono wa birika chochote akitakacho anakipata bila hiyana yoyote tu.
Kwa nini unaishi nae bila ndoa? Namaanisha kabla ya pepo kumuingia? Mwambie hivi " naishi na wewe bila ndoa na umebadilika gafla mimi siwezi vumilia tena. Naomba uondoke kwangu nipate mwanamke mwingine"Shida kaka kwa sasa siwezi kuishi kama walokole ndugu yangu, siwezi kua nakesha kwenye makanisa, nilikua siku za mwisho mwisho kwenda kuchumbia ila ndo likaja na ilo, kwa kweli upande wangu nimejaribu sanaa kaka kulimaliza hili, lakini manabii na mitume wamenizidi nguvu.