Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Amen..!!!Mimi naomba muujiza utokee na wewe uangukie kwenye ulokole ili muende sawa. Hebu wote na tuseme Amen !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen..!!!Mimi naomba muujiza utokee na wewe uangukie kwenye ulokole ili muende sawa. Hebu wote na tuseme Amen !!!
UdSiyo kila anayofundisha ni maneno ya mungu, mengine ni maneno yao binafsi..kwani hujawahi kusikia wachungaji wanaoharibu kondoo?
Kwenye andiko lake kaandika nabii ndiyo kambadilisha huyu mwanamke Tena kawa mjinga wa mwisho...sasa huoni kuwa atazingatia zaidi maneno ya huyo nabii either ya maana au yasiyo na maana na kupuuza atayoambiwa na huyo bwanaake? Ndiyo maana nimeconclude hivyo atamsikiliza mchungaji ambaye amembadilisha.Sasa mbona kwenye comment yako ni kama umeshaconclude kuwa atamsikiliza zaidi Mchumgji regardless Mchungaji anaongea maneno ya Mungu au laah? Ud
Kwenye andiko lake kaandika nabii ndiyo kambadilisha huyu mwanamke Tena kawa mjinga wa mwisho...sasa huoni kuwa atazingatia zaidi maneno ya huyo nabii either ya maana au yasiyo na maana na kupuuza atayoambiwa na huyo bwanaake? Ndiyo maana nimeconclude hivyo atamsikiliza mchungaji ambaye amembadilisha.
Haswaa, sasa unaishi nyumbani kwa mtu hutaki kutoa kisa umeokoka[emoji16][emoji16] dunia hii haiishiwi vituko
[emoji3][emoji3][emoji3]Na nyumbani hataki kuondoka khaaa. Mwishowe ataanza kulala na jeans[emoji102][emoji102]
Hapana; whatever reason iliyompeleka kanisani ni sawa; coz amempokea Kristo. Tulichopinga hapo; anataka aishi maisha ya kilokole ilhali bado anaishi na mwanaume anayemuhudumia kama mke: ila papuchi yake hataki kutoa. Huo ni uhuni: aache vyote kweli asimame na Mungu. Uzinzi sio sawa; ila pia kuishi kinyumba na mwanaume ambaye hajakuoa sio sawa.[emoji3][emoji3][emoji3]
Dada mlokole anahukumiwa bila kusikiliza utetezi wake, vipi kama aligundua kuwa mchumba wake ana mchepuko (kwa maelezo ya mleta mada ana mchepuko unao mkojoza kipindi chote cha mpito, alimpata lini?) akaamua kujiingiza kwenye maombi ili Mungu amuonyeshe matendo halisi ya mchumba wake?
Maombi yamejibu... Halelujaaa...
Sasa Hilo swali la kuwa mjinga wa mwisho anatakiwa kujibu mtoa mada.Nabii amembadilishaje kama sio kumuhubiria neno la Mungu na yeye akaona ni kweli, hivyo akaamua kubadili njia zake? Kawa mjinga wa mwisho kuamua kulifuatisha neno la Mungu?
Vitu vingine huwa ni akili ya mtu , watu wana omba na kusali lakini vitu vingine vinaendelea kama kawaidaShida kaka kwa sasa siwezi kuishi kama walokole ndugu yangu, siwezi kua nakesha kwenye makanisa, nilikua siku za mwisho mwisho kwenda kuchumbia ila ndo likaja na ilo, kwa kweli upande wangu nimejaribu sanaa kaka kulimaliza hili, lakini manabii na mitume wamenizidi nguvu.
Hapo sasa mlokole wako na huyo Mchungaji wake nawewe mngekaa pamoja na mkashauriwa yapasayo kufanya, mbona watu wanaishi mke mlokole na Baba mpagani na maisha yanasoga Baba anapata maombi mpaka naye anasimama kwa Mungu? Kaeni chini labda kama kichwa chake si kizuriUlokole umekuja tukiwa tayari tunaishi pamoja kama mke na mume, so manabii hao wamenikuta.
Hata mie yamenishangaza sana haya !Haswaa, sasa unaishi nyumbani kwa mtu hutaki kutoa kisa umeokoka[emoji16][emoji16] dunia hii haiishiwi vituko
Mjinga tu huyo,anaishi kwenye ndoa ya mkeka then anajifanya kusali...,..kanisa gani linaruhusu kuishi na mwanaume? Inawezekana nayeye amepata mchepukaji akirudi amechokaNimekaa nae karibu mwaka mmoja sasa, tulikua fresh tu, mambo yote ya kidunia hadi pombe sometimes wote tulikua tunakunywa tukiwa pamoja hasa hizi softies.
Ana mapenzi ya kweli na ni mzuri kweli kweli, ni mwanamke flani hivi mgumu kuingia kwenye mahusiano na mtu hata mie nili hustle sanaa kumpata.
Hivi karibuni sijui alikutana na nabii gani huko mitaani akambadilisha, kwa hakika hawa mitume na manabii wa mitaani wana nguvu na ushawishi kwa watu wenye roho nyepesi na za uoga, ni nabii ndio kambadilisha mind set huyu mwanamke, kawa mjinga wa mwisho duniani, yaani ujinga unapoishia ndio yeye anapoanzia.
Mwanzo niliichukulia poa, nikasema ni kitu kizuri kuwa na mke mchaMungu na hata mie nitakua free sanaa na michongo itazidi kumiminika sababu kubwa la maadui liko kwenye maombi kuninyooshea njia.
Vituko vikaanza akaanza kugoma kushiriki sex kama masikhara, kwanza haikua serious niliona kama akigoma usiku basi asubuhi anatoa, akigoma leo kesho ananipa fresh mno, baadae akaanza kugoma jumla na kufikia hapo nikasema sasa rasmi hapa hakuna mke tena.
Anasali sanaa, status anaweka kwaya masaa 24 na amebadili mavazi na mtazamo, nikimtext meseji zetu zile za kumuamsha hisia ni anachukia balaa, siku moja nusu aniue kwa hasira tulikua tumekaa nae na nikamgusia namna k. yake ilivyo amaizing, vitu ambavyo hapo mwanzo ilikuwa kawaida yetu kuvizungumza as unajua wapenzi wanavyokuaga.
Sasa mgomo moto ukaendelea, ule mgomo sio baridi, sasa nikaanza kuona drama zimekua nyingi na ndani naonekana kama mimi ni li freemason lenye mapepo, nahisi nabii alimwambia hivyo.
Nikajisemea huyu mwanamme sasa hivi ni gaidi la ki kristo, isis kabisa, so hanijui nadhani mie ndio papa Benedikto namba 16, basi nikampigia simu mchepuko wangu tena toto zurii zurii haswa halafu bado dogo tu, basi akantuliza bibie mie niseme nini nisipewe ee, narudi zangu home huko nilikotoka nimejilia vyangu mpaka naloweka, nikizusha safari za mikoani kikazi siku moja aaah mama katekista wala hana noma kwanza ndio ana furahi hakuna usumbufu.
Sasa imepita muda kidogo since nijisumbue nae kuomba game na simuombi wala kumwambia chochote, yeye ndio kwanza hata hastuki zaidi ana nipongeza kwa kuweza kumvumilia na kulishinda pepo la ngono,sad, juzi wakati ananipa pongezi hizo kidogo nimtukane tusi zito ili abebe na vitu vyake kabisa aamshe hapo home.
Kila nikimuangalia naiona dhamira yake ni nzuri sanaa na anacho kifanya ni kizuri kwa uzima wake wa milele, ila anakosea kwenye approaches, na mie sitaki tena kuongea nimechoka, nimempeleka places nikaongea nae kwa kirefu na kumwambia mipango yangu kwake na ofcoz sikuona mwingine wa kuoa na nikamwambia kila jambo liwe na kiasi, anakwambia ameelewa, tukirudi nyumbani yale yale tu, this is too much na sitaki tena ushauri wa mtu.
Nimetoa kama ushuhuda tu na sijui wenzangu mliweza kuyapita vipi maswaibu kama haya na too bad kadri siku zinavyokwenda ndio bora ya jana na ndio kwanza anaenda kukesha na kwenye masemina ndio kazi yake, na hana kazi huyu. Mchepuko kayajua haya madhaifu sasa ndio kama anafanyia sifa, siombi napewa, nnalishwa na mtoto ni screamer, naughty and wild.
Natamani mlokole wangu aniambie "baby its over" nitafanya bonge la party.
Nyie wadau labda mnipe ushauri namtoa vipi huyu katekista wa kike ndani kwangu aje huyu mama yenu mdogo wa pembeni tulisongeshe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na nyumbani hataki kuondoka khaaa. Mwishowe ataanza kulala na jeans[emoji102][emoji102]
Hawa ndiyo wanafanya wanawake walokole wadharaulike kumbe ni umamuma wao!Wewe sio Mungu kwamba usipomsaidia atakufa. Anaweza akaishi salama bila wewe; ila asiishi salama bila Mungu. Muache arudi kwao, akose hata ya hela bundle afu ndiyo Imani yake itathibika hapo. Akishindwa basi atarudi kwako na ulokole ameuacha, mtaishi kama unavyotaka, hatokuwa na masharti tena. Akiweza kuishinda njaa; atakuwa amechagua fungu jema zaidi. Achana na mambo ya huruma; ni ngumu sana kuishi na mtu asiyeamini unachokiamini, hata wewe mwenyewe utakuja kuchoka tu.
Una enjoy mwisho anakuchoka na kukimbia, kama ana nia yakua pamoja kwanini msiende kwa Mchungaji akawapa ushauri!M nilkuwa 23 nimeshika dini kweli na nilikuwa sijaanza kungonoka sasa nwanaume nkampata nkakaa naye almost one year ndo nkamkubali kama mpenzi sasa ishu nafanyeje sex wakati kichwan nimejaa neno la Mungu,nilimkazia badae nkaona huu usenge at 23 mwanaume atakuwa anaenda kulala na wengine m nasubir ndoa nkaona bora tuenjoy tu
Ndiyo aondoke akasali vizuri, labda kama wewe ndiyo amekuhifadhi hapo anamaamuzi ya kufanya hivyo,ila kama wewe ndiyo provider wa kila kitu hawezi fanya huo ujingaUlokole umekuja tukiwa tayari tunaishi pamoja kama mke na mume, so manabii hao wamenikuta.
Hapana hatujachokana na tumeoana sasaUna enjoy mwisho anakuchoka na kukimbia, kama ana nia yakua pamoja kwanini msiende kwa Mchungaji akawapa ushauri!
Hajui kama huo ulokole wa mwenzie naye unamsaidia hata yeye kwa maombi yake!Nabii amembadilishaje kama sio kumuhubiria neno la Mungu na yeye akaona ni kweli, hivyo akaamua kubadili njia zake? Kawa mjinga wa mwisho kuamua kulifuatisha neno la Mungu?
Hongera sana kwa hilo jukumuHapana hatujachokana na tumeoana sasa