Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Wacha tuishie hapa watatuambia tunahukumu[emoji16][emoji16]Umeona eeeh! Eti mlokole anaishi kinyumba na mchumba. We ulisikia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha tuishie hapa watatuambia tunahukumu[emoji16][emoji16]Umeona eeeh! Eti mlokole anaishi kinyumba na mchumba. We ulisikia wapi?
Anakuzingua huyo [emoji16][emoji16] hebu mwambie it's over uone atasemaje? Angekuwa ameamua kweli kuzaliwa upya angeachana na wewe na kuhama kabisa hapo nyumbani. Huyo msanii tu
Umeona eeeh! Eti mlokole anaishi kinyumba na mchumba. We ulisikia wapi?
Ulokole umekuja tukiwa tayari tunaishi pamoja kama mke na mume, so manabii hao wamenikuta.Umeona eeeh! Eti mlokole anaishi kinyumba na mchumba. We ulisikia wapi?
Kwenye heading umesema ni mchumba na sio mkeUlokole umekuja tukiwa tayari tunaishi pamoja kama mke na mume, so manabii hao wamenikuta.
Hahahahaha nakwambia manabii wamenizidi nguvu aiseeAnakuzingua huyo [emoji16][emoji16] hebu mwambie it's over uone atasemaje? Angekuwa ameamua kweli kuzaliwa upya angeachana na wewe na kuhama kabisa hapo nyumbani. Huyo msanii tu
Haswaa, sasa unaishi nyumbani kwa mtu hutaki kutoa kisa umeokoka[emoji16][emoji16] dunia hii haiishiwi vitukoKwa kweli na hapo nyumbani aondoke tu; ndiyo ulokole utanoga vizuri sasa
Shida kaka kwa sasa siwezi kuishi kama walokole ndugu yangu, siwezi kua nakesha kwenye makanisa, nilikua siku za mwisho mwisho kwenda kuchumbia ila ndo likaja na ilo, kwa kweli upande wangu nimejaribu sanaa kaka kulimaliza hili, lakini manabii na mitume wamenizidi nguvu.
Muda mwingine namuonea huruma, hana kazi ila ndio yuko deep na dini haswa, nasema ata nikimwambia its over ni atarudi kwao ambako nilimkuta ata hela ya bando tu alikua hana,,,jamani watu wana jisahau ndo namuwazia hapa sasa hela za mahitaji yake atapata vp na wap? Na mie sina mkono wa birika chochote akitakacho anakipata bila hiyana yoyote tu.Kwa kweli na hapo nyumbani aondoke tu; ndiyo ulokole utanoga vizuri sasa
Haswaa, sasa unaishi nyumbani kwa mtu hutaki kutoa kisa umeokoka[emoji16][emoji16] dunia hii haiishiwi vituko
Yeah brother, i second you🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Hili swala sikuwai kujua kama linaweza kutokea kwangu, sababu sio jambo geni na nimeona mengi ya ivyo, ila ni mtu yoyote tu, asubuhi moja unaweza kuamka na ukamkuta mkeo amekua sio yule wa jana.Manabii are very charismatic
Women find it hard to resist these people
Wana uwezo mkubwa sana wa ushawishi,mwanamke asipokuwa makini anaweza kuona kila anachoongea mume ni pumba inahitaji jicho la tatu kumtoa mbwa kwenye chatu..
Ni automatic tu mbwa anavutwa na nguvu ya chatu bila nguvu nyingi
Watu wengi wa hivo uwaga wamezaliwa na huo ushawishi au wamesoma sana vitabu na kuvifanyia kazi au wame train mind zao kuwa silent(meditators)
Wacheki watu km lusekelo kuanzia voice,tone,body language unaona kabisa huyu mtu ana nguvu flani ndani yake...
Sasa that taste ni kitu ambacho most women cant resist.Akisema kauli inaweza kuwa tiba au uharibifu.
Muda mwingine namuonea huruma, hana kazi ila ndio yuko deep na dini haswa, nasema ata nikimwambia its over ni atarudi kwao ambako nilimkuta ata hela ya bando tu alikua hana,,,jamani watu wana jisahau ndo namuwazia hapa sasa hela za mahitaji yake atapata vp na wap? Na mie sina mkono wa birika chochote akitakacho anakipata bila hiyana yoyote tu.
Narudia tena, utakuja kujilaumu wewe mwenyewe. NimemalizaShida kaka kwa sasa siwezi kuishi kama walokole ndugu yangu, siwezi kua nakesha kwenye makanisa, nilikua siku za mwisho mwisho kwenda kuchumbia ila ndo likaja na ilo, kwa kweli upande wangu nimejaribu sanaa kaka kulimaliza hili, lakini manabii na mitume wamenizidi nguvu.