nitahakikisha vipi kuwa haya mambo hayatojirudia kwenye ndoakama unampenda oa tu mkuu, kwa mazingira ya sasa wanawake wengi wapo hivo.
kama unampenda muamini maana binadam wote hukosea, cha muhimu mjengee misingi ya kumjua Mungu hii itapunguza au kuondoa access ya cheating&
nitahakikisha vipi kuwa haya mambo hayatojirudia kwenye ndoa
Acha upuuz wew,,kumbe jibu unalo arafu unatusumbua,,huyo mwanamke hafai achana naye over&
nitahakikisha vipi kuwa haya mambo hayatojirudia kwenye ndoa
mkuu zama hizi ke wengi wapo hivo, kama anampenda aoe tu.Acha upuuz wew,,kumbe jibu unalo arafu unatusumbua,,huyo mwanamke hafai achana naye over
Sio kweli,,kama kweli anatafuta Mke wa maisha ,,basi huyo hafai,,cha msingi kijana atulie,kama ni Muslim amuombe mola wake naye atajibiwa kwa kupewa Mke mwema na kama mkristo afunge na kuomba kisha atapata Mke mwema ila huyo hafai hata robo,narudia tena huyo mwanamke hafai na naamini anampendea jamaa Pesa na Si true love.mkuu zama hizi ke wengi wapo hivo, kama anampenda aoe tu.
wanawake wanachepuka sana, sema kama hujamfuma utajua mwaminifu.Sio kweli,,kama kweli anatafuta Mke wa maisha ,,basi huyo hafai,,cha msingi kijana atulie,kama ni Muslim amuombe mola wake naye atajibiwa kwa kupewa Mke mwema na kama mkristo afunge na kuomba kisha atapata Mke mwema ila huyo hafai hata robo,narudia tena huyo mwanamke hafai na naamini anampendea jamaa Pesa na Si true love.
Mkuu,, jitahid ukiwa katika mahusiano chagua mwanamke unayeridhika nae ,,ila yeye akupende,,pia jaribu kucontroo hisia zako,,ni bora mwanamke akupende asilimia kubwa atatulia ila wew ukimpenda bas atakutesa,pia jaribu kumtom...Ba vizur,tafuta Pesa ili akidhi mahitaj yake,usisahau kumsifia Mara kwa Mara na kila siku,mridhishe kitandan na vizawad vidogo vidogo bila kumsahau Mungu awatangulie katika ndoa yenu hapo mnaweza salimika na vishawishi kiasi kama ukifanya hayo.wanawake wanachepuka sana, sema kama hujamfuma utajua mwaminifu.
mimi tayar nina ndoa bt nimemueleza hivo coz kuna jamaa yangu kafanyiwa visa na mkewe akaoa mwingine bt alomuoa ndo mtihani zaidi mpaka ikabidi amrudishe wa kwanzaMkuu,, jitahid ukiwa ktk mahusiano chagua mwanamke unayeridhika nae ,,ila yeye akupende,,pia jaribu kucontroo hisia zako,,ni bora mwanamke akupende asilimia kubwa atatulia ila wew ukimpenda bas atakutesa,pia jaribu kumtom...Ba vizur,tafuta Pesa ili akidhi mahitaj yake,usisahau kumsifia Mara kwa Mara na kila siku,mridhishe kitandan na vizawad vidogo vidogo bila kumsahau mungu awatangulie ktk ndoa yenu hapo mnaweza salimika na vishawishi kiasi kama ukifanya hayo.