Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tu ushahidi wote huo unao na bado unapata ujasiri wa kuomba ushauri, mimi ninakushauri umuombe huyo mpenzi wako akuache ili ukue.
Amuoe msaliti???Sasa unasubiria nini kumuoa? Fasta vuta jiko.
Mkuu,, jitahid ukiwa katika mahusiano chagua mwanamke unayeridhika nae ,,ila yeye akupende,,pia jaribu kucontroo hisia zako,,ni bora mwanamke akupende asilimia kubwa atatulia ila wew ukimpenda bas atakutesa,pia jaribu kumtom...Ba vizur,tafuta Pesa ili akidhi mahitaj yake,usisahau kumsifia Mara kwa Mara na kila siku,mridhishe kitandan na vizawad vidogo vidogo bila kumsahau Mungu awatangulie katika ndoa yenu hapo mnaweza salimika na vishawishi kiasi kama ukifanya hayo.