Mchumba ameenda Mpanda amenisaliti zaidi ya mara tatu, amerudi Mwanza kaninyima uroda kaenda kumpa jamaa mwingine. Ananiomba msamaha eti nimuoe

kitendo cha kujua na kukubali muongee teyari kisha kushinda.
huna la kufanya wewe.
 
Una akili sawa sawa wewe!? Hili umeshindwa kufanya maamuzi mwenyewe hadi uje kuomba ushauri humu!? 😳😳😳😳😳
 
Kimsingi huyo ni wa Igogo au Mabatini na Mji Mwema

Piga chini haraka wala hukua na sababu ya kuja hapa kutusumbua sisi
 
Mwoe tu si ameshakuona wewe lofa.
Ingekuwa mimi hata muda wa kuja kuomba ushauri hapa nisingekuwa nao. Siku tu akijamiana na mtu mwingine tayari ndio mwisho wa upumbavu wote.
 
Kama tu ushahidi wote huo unao na bado unapata ujasiri wa kuomba ushauri, mimi ninakushauri umuombe huyo mpenzi wako akuache ili ukue.

[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu fuata huu ushauri ni bora saana kwako
 
Unaweza msamehe, ila issue ni Je huyo shetani katoka au yupo? Na kuhakikishia yupo, Kwa hiyo kama Upo tayari shetani aendelee kumpitia muoe!
 
Bro usioe hyoo taka taka tupa kule kabsa kama ukioa niambie uko maeneo gan niwe jiran yako kusud tusadiane kumla
 
Wazazi niwaombe jambo moja.

Ifikie sasa muwe mnakaa na watoto wenu wa kiume angalau muwafundishe namna ya kujisimamia ipasavyo.
 
Kwa kuwa ni mchumba nakushauri umwache utafute mwingine uoe. Ingekuwa umeshamuoa ningekushauri vingine
 

Bado una uelewa mdogo wa wanawake.
 
Sku hz wanawake kutoa tundu sio inshu kubwa sana,sjui wanashndana na sis,achana nae lakin karibia wote wako hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…