Nakukubali mkuu kwa busara zako ktk mahusiano hakika watu wengi humu wanashauri kimhemko bila kujiweka ktk nafasi ya wanayemshauri na wengine wengi wanaotoa ushauri ni ma singles wasiojua uhalisia na maumivu au raha ya ndoa.mimi tayar nina ndoa bt nimemueleza hivo coz kuna jamaa yangu kafanyiwa visa na mkewe akaoa mwingine bt alomuoa ndo mtihani zaidi mpaka ikabidi amrudishe wa kwanza
kwenye mahusiano/ndoa ukibahatika unaweza jisifu bt ukiteleza utajuta sana.
right, humu ndani ukitaka ushauri then ukakosa umakini basi ujue ushauri ulochukua ndo utakupoteza zaidi.Nakukubali mkuu kwa busara zako ktk mahusiano hakika watu wengi humu wanashauri kimhemko bila kujiweka ktk nafasi ya wanayemshauri na wengine wengi wanaotoa ushauri ni ma singles wasiojua uhalisia na maumivu au raha ya ndoa.
Mbona watu woote tunatoa ushauri kuna kitu huyu baharia kaandika kwamba meseji tata kwenye simu yake ishawahi kuonwa na huyu demu wake siku za nyuma. Kama kawaida tulivo wanaume, inamaanisha huyu mleta mada hata yeye ameshawah ku cheat.Habarini za usiku wanaJf,
Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.
Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio ananiomba msamaha eti ni shetani.
Ananiomba nimsamehe kwakuwa aliwahi kamata SMS za mwanamke kwenye simu yangu akanisamehe. Ananibembeleza kuwa kwa sasa amejifunza nimuoe hatorudia kamwe.
Je, unaweza samehe kosa la usaliti?
Muoe mkuu, samehe 7 X 70.Habarini za usiku wanaJf,
Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.
Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio ananiomba msamaha eti ni shetani.
Ananiomba nimsamehe kwakuwa aliwahi kamata SMS za mwanamke kwenye simu yangu akanisamehe. Ananibembeleza kuwa kwa sasa amejifunza nimuoe hatorudia kamwe.
Je, unaweza samehe kosa la usaliti?
Msamehe tu kwan haina makombo iyo mzee.Habarini za usiku wanaJf,