Mchumba anahitajika kwa ajili ya ndoa ndani ya mwaka mmoja.
Habari wakuu,
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 Mfanya Biashara Jijini Dar es salaam Mrefu na Brown Colour Dini Mkristo.Habari wakuu,
Ombi langu kwenu ndugu zangu nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchumba kwa lengo la ndoa baadae.
Kwa yeyote ambae ako tayari tuwasiliane DM au kama mtu anadhani atanifaa pia anakaribishwa DM.
Sifa mchumba ninaemhitaji.
1. Umri chini ya miaka 25 - 50
2. Ajue kusoma na kuandika na akili ya maisha.
3. Mweupe na mrefu kiasi
4. Heshima, Nidhamu, Utii, Usikivu
5. Akipatikana Dar es salaam itakuwa vizuri zaidi ili iwe rahisi kuonana.