Sijajumlisha na biashara zangu.we mshahara wako mdogo
Laki mbili kwa mwezi mradi awe na hela yake ya mwendo kasi inatosha.Sijajumlisha na biashara zangu.
Kwani wewe unataka mwenye mshahara kiasi gani?
Mbona mnatunyanyapaa sie maskini.
Ha ha haNipm nikupe namba ya huyu ninaeshi nae me nishamchoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu anatafuta mchumba sio mtumba.
Nifafanulie hiyo hela ya mwendokasi ndo inakuwaje.Laki mbili kwa mwezi mradi awe na hela yake ya mwendo kasi inatosha.
umenichekesha. na hiyo picha yako ndio kabisa....huo mdomo..Teh teh teh. Ni used miezi 3 tu. Kwa hiyo ni kama mpya.
Id fakeNaona wageni mnasaka kweli wachumba
Ndo bahati yako itumiekwanini lakini jamani... nimefatilia kwa ukaribu sana nyuzi alizofungua huyu kaka naona kaanza kutafuta mchumba/mke humu tangu 2013 na kawahi kukata tamaa mara moja, lkn pia bado anatafuta ivoivo... dah muombe Mungu atakupa wa kufanana na wewe.