Mchumba anahitajika

Mchumba anahitajika

kwanini lakini jamani... nimefatilia kwa ukaribu sana nyuzi alizofungua huyu kaka naona kaanza kutafuta mchumba/mke humu tangu 2013 na kawahi kukata tamaa mara moja, lkn pia bado anatafuta ivoivo... dah muombe Mungu atakupa wa kufanana na wewe.
Ndo bahati yako itumie
 
Back
Top Bottom