Mchumba anahitajika

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Mimi ni kijana wa kitanzania,
Mwenye miaka 33 nakaribisha,
Wanawake kwa wasichana wenye,
Nia ya dhati ya kuanza uhusiano,
Utakao elekea katika ndoa.

Sifa;
Ucha Mungu,
Dini yeyote,
(Nipo tayari kumfuata mke wangu kwani naabudu dini za jadi)
Elimu kuanzia darasa la saba,
Mimi chocolate kwa hiyo napenda mke wangu awe mweupe au maji,
Ya kunde.
Tabia njema asiye na makuu
Umri 20_35

Karibuni pm

Angalizo kama haupo serious
Naomba utulie tu

NB: Mazungumzo ya pm yatakuwa na kubaki siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…