Mchumba anahitajika

Umejiunga humu ili kutafuta mchumba sio?
 
Vipi kama akiwa mjeuri....anadharau mchoyo ...hapendi ndugu zako.....ila ana hivyo vigezo utakavyo upo tayari?

Nimeuliza coz sijaona kipengele cha tabia njema
 
Darasa siku hizi lina olewa, zamani tulikuwa tuna angalia Tabia siku hizi Elimu[emoji28][emoji28]Mungu atunusuru tuendako
kizazi cha sasa kuoa mwanamke la 7 ni kujitafutia shida atleast kuanzia form 4 anakua na exposure kidogo
 
Vipi kama akiwa mjeuri....anadharau mchoyo ...hapendi ndugu zako.....ila ana hivyo vigezo utakavyo upo tayari?

Nimeuliza coz sijaona kipengele cha tabia njema
kama ananidharau automatically hawezi kua na mimi
 
hv ww 'asporo' maisha yalivy magum hv kunifukzia bahat ndo nn?kwakwel sijapenda!kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake !habemendwi mtu !TUNAPOZANA
Tatizo hako kaumri. Amesema sijui ana miaka chini ya 18. Sasa wewe na miaka yako 50 dogo si atakosea njia kwa woga?
 
Tatizo hako kaumri. Amesema sijui ana miaka chini ya 18. Sasa wewe na miaka yako 50 dogo si atakosea njia kwa woga?
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ nazima taa navyoingia room!na kila mtu aoge kwa nafasi yake !usk tuu ndo tunakutana !hapo asbh hakuna cha morn glory!
 
hv ww 'asporo' maisha yalivy magum hv kunifukzia bahat ndo nn?kwakwel sijapenda!kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake !habemendwi mtu !TUNAPOZANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona huchezi mbali na fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…