Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana utapata wa kukufaa lakini Mungu mwemaYote mawili mkuu
wapo wengi tu mkuuhahahahah! Utaishia kuioa vicheche! mwanamke anayejielewa hawezi kujitongozesha kirahisi kihivyo! Hii ni dalili za domo zege
definitely!Umejiunga humu ili kutafuta mchumba sio?
kizazi cha sasa kuoa mwanamke la 7 ni kujitafutia shida atleast kuanzia form 4 anakua na exposure kidogoDarasa siku hizi lina olewa, zamani tulikuwa tuna angalia Tabia siku hizi Elimu[emoji28][emoji28]Mungu atunusuru tuendako
kama ananidharau automatically hawezi kua na mimiVipi kama akiwa mjeuri....anadharau mchoyo ...hapendi ndugu zako.....ila ana hivyo vigezo utakavyo upo tayari?
Nimeuliza coz sijaona kipengele cha tabia njema
sawa mkuu....PM bado bila bila kaka!Mleta mada utuletee mrejesho tasavali
hv ww 'asporo' maisha yalivy magum hv kunifukzia bahat ndo nn?kwakwel sijapenda!kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake !habemendwi mtu !TUNAPOZANA
Tatizo hako kaumri. Amesema sijui ana miaka chini ya 18. Sasa wewe na miaka yako 50 dogo si atakosea njia kwa woga?hv ww 'asporo' maisha yalivy magum hv kunifukzia bahat ndo nn?kwakwel sijapenda!kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake !habemendwi mtu !TUNAPOZANA
Pole [emoji2] [emoji2] [emoji2] single maza nyie pasua sanaKIgezo cha mwisho ndo npo mm !sio RIZIKI
🙂🙂🙂🙂 nazima taa navyoingia room!na kila mtu aoge kwa nafasi yake !usk tuu ndo tunakutana !hapo asbh hakuna cha morn glory!Tatizo hako kaumri. Amesema sijui ana miaka chini ya 18. Sasa wewe na miaka yako 50 dogo si atakosea njia kwa woga?
JAMANI!!!Pole [emoji2] [emoji2] [emoji2] single maza nyie pasua sana
Hapo naunga mkono hoja...🙂🙂🙂🙂 nazima taa navyoingia room!na kila mtu aoge kwa nafasi yake !usk tuu ndo tunakutana !hapo asbh hakuna cha morn glory!
ntapata tu anayehitaj matured rlshp!...harusi yangu lazima uwepo!Hapo naunga mkono hoja...
Shikamoo babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hv ww 'asporo' maisha yalivy magum hv kunifukzia bahat ndo nn?kwakwel sijapenda!kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake !habemendwi mtu !TUNAPOZANA