Mchumba anahitajika

Mchumba anahitajika

Hahahaha wanazingua sana man. Sasa mshikaji kajitoa hadharani na sura yake maana SURA HAIAZIMWI ndo maana wadada wanajikuta selective sana mwisho wa siku holaaaa!!

Halafu wengi humu mademu ni sura za kinyesi cha ngombe kilichokauka.
Duh hili povu lote tumekukosea nini mkuu na sura zetu mong'oo, tusamehe
 
Kwahiyo wewe unataka aanze kufake fake mapema kabisa...

Kama mtu ana sura serious basi hiyo ndo sura yake mwanamke aende akijua ni mtu serious,mazingira yake ndo hayo ndo yupo mazingira hayo afanyaje sasa kuanza kuwachosha watu kuomba appointment ya mlimani city wakati sio mtu wa huko...

Hii msg yako ningekuwa mods ningeifuta
Hakuna mtu mwenye sura serious. Wote tuna mambo yanayotufurahisha. Na hakuna mtu anapenda kuwa na mtu asiye na furaha. Umeshaona mtu anaenda kwa interview ya kazi amevaa shabby shabby? Tena ni interview ya kazi. Kati ya kazi ya muda na mke wa milele nani ana umuhimu zaidi? Msiwe mnapost ujinga mkifikiria eti mmepost kitu cha maana. Ww haujui kabisa maisha. Una mengi sana ya kujifunza
 
Kwani kanunia kwenye mapaja au usoni ? Na sura si ipo usoni au ?

Sema nini mkuu mngebezi kwenye content aliyowasilisha kuliko kukosoa picha yake!
Sawa content manager! Ila kilichokufanya useme hatujabezi kwenye content ni nini kwani hiyo picha haijawekwa kwenye uzi wake? Au ulitaka tucomment nini ili ujue tumebase na content?
 
Watu tuna shida sana. Mtu kapost picha huenda ni yake halafu mnabeza sura Mara mazingira na mwonekano, angepost bila picha pia mngesema.

Halafu sura sio moyo, na nyie wadada mnaobeza mshikaji wengi wenu sura mong'o lakini mnavoringa na avatar zenu sio poa kumzingua jamaa.
Soma comment yangu nimemjibu mwingine mwenye fikra kama zako hapo juu.
 
Mkuu ungetabasamukidogo
Unawatisha sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu !!???
Soma comment yangu #29 ili uelimike. Unahitaji elimu ya maisha. Kuweka smile, haina gharama. Kuvaa smart, haina gharama. Hayo mambo sio ku-feki kitu. Kufeki ni kama kusema natengeneza shs 10m kwa mwezi wakati mtu ni jobless. Ila kusema mfano nina ndoto ya kuwa na biashara kubwa ya duka na ninaifanyia kazi ila bado haijatimia, hio nayo sio kufeki. Mwanamke anapenda kuwa na mtu anayejitambua, jamaa post yake inaonyesha bado hajitambui vizuri.
 
Kwahiyo wewe unataka aanze kufake fake mapema kabisa...

Kama mtu ana sura serious basi hiyo ndo sura yake mwanamke aende akijua ni mtu serious,mazingira yake ndo hayo ndo yupo mazingira hayo afanyaje sasa kuanza kuwachosha watu kuomba appointment ya mlimani city wakati sio mtu wa huko...

Hii msg yako ningekuwa mods ningeifuta
Remember jamaa anatafuta mke. Na yeye atakuwa mume. Manake baba wa familia, provider mkuu wa familia, kiongozi wa familia WA MILELE. Anaomba kupewa kazi kubwa ya baba na mume ambayo Sio kazi ya kampuni fulani ya kuomba siku mbili na kuacha . Siku zote pia mkumbuke Picture tells a thousand words. Manake picha moja ni sawa na essay ndefu ya maneno 1000. Na ndio nikasema smile haina gharama. Na kuvaa smart haina gharama. Manake mwonekano mzuri hauna gharama. Na unaonyesha mume mtarajiwa anayejijali, ambaye ni positive, ambaye atasimamia familia vizuri kama kiongozi na kuleta confidence kwa mke na watoto. Na mengineyo mengi. Lakini kwa post hio, hakuna mwanamke mwenye akili timamu atamtaka jamaa (Kama ni genuine post ya ukweli sababu wapuuzi wengine wanakuja tu JF kupoteza muda na hawako serious). Post inaonyesha mtu mwenye stress isiyoisha na huzuni, asiyejiamini, mwenye hasira, aliyekata tamaa, asiyejijali, asiye na malengo makubwa maishani (hakuna CV) nk.
 
Uzuri wa hapa ni kwamba wakati baadhi ya watu wakiwa busy kukandia na kukatisha tamaa, wenye nia ya dhati washazama zao PM wanayajenga.

Kila la heri kiongozi, Mungu akujalie hitaji la moyo wako.
 
Remember jamaa anatafuta mke. Na yeye atakuwa mume. Manake baba wa familia, provider mkuu wa familia, kiongozi wa familia WA MILELE. Anaomba kupewa kazi kubwa ya baba na mume ambayo Sio kazi ya kampuni fulani ya kuomba siku mbili na kuacha . Siku zote pia mkumbuke Picture tells a thousand words. Manake picha moja ni sawa na essay ndefu ya maneno 1000. Na ndio nikasema smile haina gharama. Na kuvaa smart haina gharama. Manake mwonekano mzuri hauna gharama. Na unaonyesha mume mtarajiwa anayejijali, ambaye ni positive, ambaye atasimamia familia vizuri kama kiongozi na kuleta confidence kwa mke na watoto. Na mengineyo mengi. Lakini kwa post hio, hakuna mwanamke mwenye akili timamu atamtaka jamaa (Kama ni genuine post ya ukweli sababu wapuuzi wengine wanakuja tu JF kupoteza muda na hawako serious). Post inaonyesha mtu mwenye stress isiyoisha na huzuni, asiyejiamini, mwenye hasira, aliyekata tamaa, asiyejijali, asiye na malengo makubwa maishani (hakuna CV) nk.

Jinsi ulivyo mjudge hapo mwisho sasa huyo ndo yeye halisi

Mwanamke anapoamua kuwasiliana nae lazima ajue mtu huyu sio smart ,sura yake ipo serious mazingira anatoka ni ya maisha ya kawaida yaani hivo unavyotaka jamaa asiwe basi ndo inabidi avionyeshe mwanzoni kbs mwa kutafuta mchumba...

Mtu anayetaka kupata mpenzi mtandaoni yampasa awe really kwelikweli kitabia muonekano na mavazi ili apate mtu size yake..

Wanaume km huyo jamaa wapo wengi tu mtaani na wameoa wana familia...

Bro hayo ndo maisha yake halisi ambayo anapaswa kuyaonyesha from beginning.
 
Hakuna mtu mwenye sura serious. Wote tuna mambo yanayotufurahisha. Na hakuna mtu anapenda kuwa na mtu asiye na furaha. Umeshaona mtu anaenda kwa interview ya kazi amevaa shabby shabby? Tena ni interview ya kazi. Kati ya kazi ya muda na mke wa milele nani ana umuhimu zaidi? Msiwe mnapost ujinga mkifikiria eti mmepost kitu cha maana. Ww haujui kabisa maisha. Una mengi sana ya kujifunza

Uelewa wako bado sana
 
Kwakweli mkuu kwa picha hiyo nimeamini uko siriaz na hili suala.
 
Back
Top Bottom