Mchumba anaitajika

Mchumba anaitajika

Prof alvin

Senior Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
145
Reaction score
469
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa elimu ni degree ni muajiriwa wa Serikali nina watoto watatu wakike 2 wa kiume mmoja.Nilioa bahati mbaya ndoa haikiweza kudumu kutokana na changamoto zake.

Naitaji mke wa kuoa umri kuanzia miaka 22 mpk 25 asiwe amezaa zaidi ya watoto wawili.Elimu yake at least kuanzia degree.Awe na maadili ya kikristo mlokole, muislamu nooo siitaji.

Kwa atakayekuwa tayari anifuate inbox kwa mawasiliano zaidi.
 
Una uhakika gani kama ndoa nyingine itadumu?!
 
Back
Top Bottom