FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mchumba wako ni mchoyo na mbinafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
raia fulani nimekupata.siyo kwamba anatumia simu tatu kwa pamoja.nimekuwa namnunulia simu na sasa zimeshafikia tatu.moja iliibiwa mwaka juzi, nikamnunulia nyingine ambayo aliitumia mpaka ikachakaa sana,tukaiuza nikaongeza hela nikamnunulia hii ya sasa.maisha yetu ni ya chini mno.so ndiyo picha halisi.Huyo ni sistaduu. Halafu simu tatu za nini? Itafika wakati atakuumbua kutokana na maisha hayo ya kufikirika unayompa. Anapanda daladala? Jaribu kumrudisha katika maisha halisi. Ikishindikana fikiria tena upya kabla mwaka kesho haijafika
raia fulani nimekupata.siyo kwamba anatumia simu tatu kwa pamoja.nimekuwa namnunulia simu na sasa zimeshafikia tatu.moja iliibiwa mwaka juzi, nikamnunulia nyingine ambayo aliitumia mpaka ikachakaa sana,tukaiuza nikaongeza hela nikamnunulia hii ya sasa.maisha yetu ni ya chini mno.so ndiyo picha halisi.
kwa maelezo yako ya sasa nimekupata. Huyo mwanamke hana kosa. Ukishampa mtu kitu na kumwambia ni chako, huna mamlaka nacho tena. Hata yeye inawezekana anatumia intanet hivyo unamnyima haki yake. Wewe ndio ujipange na ununue yenye mtandao.
lkn mkuu kuna jinsi wapenzi wanavyo deal na matatizo kama hyo.hao sio watu baki, they are two people fall in love. naomba ukijibu iwe in the name of love, amen
Mchumba wako ni mchoyo na mbinafsi
kwa maelezo yako ya sasa nimekupata. Huyo mwanamke hana kosa. Ukishampa mtu kitu na kumwambia ni chako, huna mamlaka nacho tena. Hata yeye inawezekana anatumia intanet hivyo unamnyima haki yake. Wewe ndio ujipange na ununue yenye mtandao.