Mchumba anapatikana Popote Hata Humu.

Mchumba anapatikana Popote Hata Humu.

Tupo wengi humu, ila nao wadada wamezidi bhana. Yani mkishakutana PM mkabadilisha Namba za simu na kuwasiliana kisha mkakutana ili mfahamiane Basi kama unajijua dume suluali nakwambia hapo umebugi,

Demu lazima akupige Ban na hapo ndio mwisho wa mawasiliano
Sasa Hapo Ni kuwa smart.
Unajua ukweli ji mzuri.MTU from start unaanza Na swaga nyingi.Ooh tuna kampuni, ooh kitanda, ooh tuna mashamba.
Unaombwa elfuv10 huna.lazima akimbie.
Ila ukiwa muwazi Ni nzuri sana
 
Sasa Hapo Ni kuwa smart.
Unajua ukweli ji mzuri.MTU from start unaanza Na swaga nyingi.Ooh tuna kampuni, ooh kitanda, ooh tuna mashamba.
Unaombwa elfuv10 huna.lazima akimbie.
Ila ukiwa muwazi Ni nzuri sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom