Mchumba anasomeshwa cherehani tu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Nimekutana na msemo huu katika pita pita zangu ila nikabaki nasikitika kwanini tumefikia hatua hii.

Hii inaonyesha watu wamekwisha kata tamaa ila hapa inabidi tujifunze kitu pande zote mbili (mwanamke na mwanaume).

Kwa mwanamke, jitahidi kulipa fadhila kwa anayejitoa kuku-support wakati wowote ule.


Kwa mwanaume, ukiwa unatoa support yeyote kwa mwanamke usitegemee mambo makubwa toka kwake. Fanya kama unatoa msaada tu.

Ni hayo tu kwa leo.

Nawasilisha.

Kichwa kichafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…