Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
-
- #21
Dah... Acheni woga banaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha...kuna mada zinachekesha sana.
Toa msaada tu.Serikali yenyew haisomeshi bure bali inawakopesha mimi ni nan nikamsomeshe
Message received
Tenda Wema nenda zako.....!
Mkisema mchumba hasomeshwi mnakosea sababu hata hao ndugu mnaowapa vipaumbele kusomesha ni wachumba za watu wa baadae [emoji1787][emoji1787]
mambo yasiwe mengi turudi apo kwenye heading... mchumba anasomeshwa chereani tu ukimpenda sana mwisho veta grade 1,2 na 3
Hata cherehani hapaswi kusomeshwa.
Mfano:
Rafiki yangu mmoja alifanya hivyo na kumfungulia kibanda aendeshee biashara lakini Mke alikuwa akipata pesa alimtumia Baba yake Mzazi zaidi ya miezi 6 badala ya kuhakikisha wanajenga familia pa1 na Mumewe.
Acha kujimwambafai!Papuchi
Acha kujimwambafai!
Dunia tambara bovu