Safari hii hao wachumba wanapata tabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ntakuchapaa
Mmewaandama sanaKwann
Mmewaandama sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PoaaMambooo
Endelea kujimwambafai tuu jamani!Ukiona mtu anacheka huku anachapwa basi anapata kichapo cha wakubwa
Endelea kujimwambafai tuu jamani!
Dunia tambara bovu
Poaa
Poaa
Poaa
SikuwaachiiiNiache
NdiwoooUmeolewa
Unajimwambafai hadi unaniquote mara 20 kwa comment moja?!Niache
Nimekutana na msemo huu katika pita pita zangu ila nikabaki nasikitika kwanini tumefikia hatua hii.
Hii inaonyesha watu wamekwisha kata tamaa ila hapa inabidi tujifunze kitu pande zote mbili (mwanamke na mwanaume).
Kwa mwanamke, jitahidi kulipa fadhila kwa anayejitoa kuku-support wakati wowote ule.
Kwa mwanaume, ukiwa unatoa support yeyote kwa mwanamke usitegemee mambo makubwa toka kwake. Fanya kama unatoa msaada tu.
Ni hayo tu kwa leo.
Nawasilisha.
Kichwa kichafu.
Unajimwambafai hadi unaniquote mara 20 kwa comment moja?!