stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Kumbe unajua ipo hivyo akishakutana na kulumbembe lake la chuo akimaliza aliemsomesha anamuona hana jipya hamfahihongera wewe Mungu atakuzidishia ila wengi huwa wanakula kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unajua ipo hivyo akishakutana na kulumbembe lake la chuo akimaliza aliemsomesha anamuona hana jipya hamfahihongera wewe Mungu atakuzidishia ila wengi huwa wanakula kona
Hapana, hakuwa mke kipindi ninamsomesha. Tumeoana baada ya kumaliza chuo. Niliandika barua tu kama mama ake alivyoomba. Nimemuoa baada ya kumaliza chuo na ndipo nilipolipa mahali yake.Huyo sio mchumba. Umesomesha mke ambae ulishamzalisha. You had nothing to loose maana alikua ameshakuzalia. Hata angeleta vibweka isingeuma.
Tunachokataa ni kumsomesha MCHUMBA. Binti haujamuoa, haujamzalisha halafu wewe unaleta shobo dundo unaenda kumsomesha ukitegemea akimaliza chuo/shule ndio mzae na mfanye maisha. Wanaume hawa mara nyingi hulia na kusaga meno maana huko vyuoni mchumba hukutana na soulmate wake na kumdharau aliyemsomesha.
So blaza hapo haujasomesha mchumba. Umesomesha mke ambae tayari wana wa chuo hawakua na sababu ya kumrukia maana ulishamzalisha hakua na maajabu tena!
Mchumba anasomeshwa sana. Inategemea na bond mliyonayo. Mimi ni mfano unaoishi.Mchumba hasomeshwi
Am done
Hakuwa mke wakati anasoma. Alikuwa ni mchumba tu. Nilikuwa sijamuoa wala kumtolea mahali. Nilikuwa nimemtolea barua tu, au tafasiri ya mchumba ni nini?Umesomesha mke na mama watoto wako, sio mchumba uyo
#mchumba hasomeshwi
Kwani tafasiri ya mchumba ni nini?badilisha heading tafadhali baba khumbu,huyo hakuwa mchumba bali mke,yaani mtu mpaka ameacha mtoto nyumbani alafu unasemaje?
kwa huyo mke wako hana tofauti na wale wanaume wanaoamua kuwaendeleza kielimu wake zao na hilo jambo limezoeleka hata akipata kibwana cha kumtafuna bado atarudi kwako
Hash tag#Mchumba hasomeshwi.
Kunjani mfethu? Godwa usiqwiza wakho nilimkuta bikra uwena how come ukhulume mambo ya DNA?Unjani Mfowethu. Thina Abazulu sithi " Iqaqa alikwazi kunuka" Umepima DNA ya watoto kuhakikisha ni wakwako?
Katika somo kubwa nililojifunza ha JF ni hilo. "MCHUMBA HADOMESHWI" nami naogezea "MKE PIA HADOMESHWI" Nadhani ni suala la muda tu utakuja elewa.
UKULUNKULU ABE NAWE NKOSI
Kwa nini mliachana? Nani alimuacha mwenzie? Kabla ya kukusomesha mlijuana kwa muda gani?Mimi nilisomeshwa
Ila bahati mbaya tukaachana tu
Na hadi Sasa kama Nina shida ananisaidia bila mjadala
Sema sometime Huwa namuonea huruma hadi nalia
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Izinto za bafazi ziyasinda kakhulu. DNA Kuphela uzokwazi iqiniso. Bayakhuluma manga labo abafa Kanye namantombazaneKunjani mfethu? Godwa usiqwiza wakho nilimkuta bikra uwena how come ukhulume mambo ya DNA?
Inategemea mkuu. Sawa mambo ya wanawake ni mazito sana ila kwa huyu wa kwangu hakuna kitu kama hicho. Kwanza watoto wote ni kama nimejipiga copy.Izinto za bafazi ziyasinda kakhulu. DNA Kuphela uzokwazi iqiniso. Bayakhuluma manga labo abafa Kanye namantombazane
HahaaUsije muua tu
Mchumba ni yule ambaye hamjakutana kimwili. Umepeleka barua kwao na unamsubiria taratibu nyingine zikamilishwe kisha ahamie kwa mwanaume awe mke.Hakuwa mke wakati anasoma. Alikuwa ni mchumba tu. Nilikuwa sijamuoa wala kumtolea mahali. Nilikuwa nimemtolea barua tu, au tafasiri ya mchumba ni nini?
Mchumba hakusoma Dar alipata chuo nyanda za juu kusini. Nilikuwa nasafiri at least mara mbili kwa mwaka kwenda kumcheki. Kipindi anasoma high school ndio tulikuwa wote maana alikuwa hapa hapa Dar.Nazan kuwa kwenye jiji moja wkend mkawa mnakutana hii pia ilipunguza ushawish kwa huyo mwanamke,ila ingekuwa wewe upo huko mwanza afu mwanamke anasomea dar leo ingekuwa habar nyingine
Pole sana kwa kukutana na sera za kijinga za yule pimbi kutoka chato akakubebesha mzigo wa kuhenyeka mke alipokuwa chuo