Mchumba anasomeshwa

Mchumba anasomeshwa

Bunyatia vanzaa vulumbalasi kuDNA anafluyi dulakasi tulipululu
 
Sasa imeshakuwa kama wimbo wa taifa kusikia hii kauli ya kwamba mchumba hasomeshwi. Jamani, mchumba anasomeshwa. Inategemea na mchumba mwenyewe. Mie nimesomesha, na sijakutana na changamoto yoyote hadi amemaliza chuo, na sasa ndio ni mke wangu and we are blessed with two beautiful children and another one on the way.

Mchumba wangu ambaye ndio mama watoto wangu nilimjua tangia akiwa mdogo. She was such a cute young girl when she was growing up. Mashavu yake yalikuwa yanapambwa na dimpoz zuri anapotabasmu.
Baada ya kutoka South Africa nikiwa na mastress ya Khumbu nikamkuta ashamaliza form four akisubiria matokeo.

Nikamkuta ndio yupo kwenye pick, amenona, anawaka, sura nzuri, tabasamu murua lililopambwa na dimpozi, black beauty amazing, shape standard, mguu wenye ushirikiano na mapaja na makalio, chuchu konzi. Kiufupi wife alikuwa kwenye pick 17 years approaching to 18 years.

Bila ajizi nikamwaga sera zangu akanielewa, na haikuwa shida kunikubalia kwa sababu alikuwa ananijua toka kitambo maana nilikuwa nakaa kwenye nyumba yao. Kuna rafiki yangu mmoja (RIP) alikuwa amepanga kwao na mimi ndio nilifikia kwenye geto la huyu rafiki yangu.

1 January 2013 ndio siku niliokutana kimwili na wife (Mchumba ambaye mnasema hasomeshwi). Nilimkuta bikra, nadhani ndio siku hiyo hiyo nilimpachika na mimba maana mwezi uliofuatia hakuziona siku zake na tayari alikuwa ameanza kuona mabadiriko kwenye mwili wake.

Nilimchukua kwenda kwenye dispensary moja huko mtaani kwao kwenda kumpima na kweli ikaonekana ni mjamzito. Kama kumbumbuku zangu zipo vizuri nadhani matokeo ya form four yalitoka kipindi hicho hicho baada ya kugundua ni mjamzito.

Matokeo ya form four yalipotoka alikuwa amefaulu na akawa amepangiwa shule moja ya advance iliyopo Morogoro. Mtoto nikamwuliza vipi? Itakuwaje na huu ujauzito, nakumbuka jibu alilonipa alitamka "nataka kwenda shule" Basi nikamjibu "twende tukaitoe mimba".

Basi tukaenda dispensary ile ile tuliyopimia ujauzito, tukaongea na dakitari mmoja na kumweleza dhamira yetu. Tukakubaliana na dakitari hilo zoezi lifanyike kesho yake asubuhi. Basi nikamrudisha mtoto kwao nikasepa. Kesho yake asubuhi nikaenda kwao kwa ajili ya kumchukua ili twende tukaitoe hiyo mimba. Ile nafika tu nyumbani kwao akanivutia chumbani kwake, akaniambia "mama kakataa kutoa mimba".

Kabla sijakaa sawa mama ake akaingia chumbani kwake na kuniomba tuongee kidogo. Mama ake akaanza kwa kuongea "mwanangu msitoe mimba, huwezi kujua labda huyu ndio mtoto wenu wa pekee mliojaliwa na mwenyezi Mungu, pia kwenye kutoa mimba kuna kufa, kwa hiyo huyu mwache ajifungue kama ni shule ataenda ya kulipia, uhai wake na wa mtoto ni muhimu kuliko shule."

Akaendelea kusema "Unachotakiwa wewe andika barua ya uchumba utume watu wailete kabla baba ake hajajua kama mwenzio ni mjamzito, mambo mengine niachieni mimi nitaongea na baba ake".

Basi sikulaza damu, fasta tu ndani ya siku chache barua ikapelekwa (Kumbukeni kipindi kile mambo ya kutoa mimba kwa vidonge hayakuwepo, kama yalikuwepo basi mie nilikuwa siyajui, ilikuwa ni ile kuchokonolewa kwa mkasi, na story za watu kufa wakiwa wanatoa mimba zilikuwepo sana tofauti na sasa ambapo mabinti wanaweka kidonge tu sehemu za siri mimba kwisha habari yake. Basi swala la kutoa mimba likawa limekufa rasmi.

Baada ya mama ake kukataa kutoa mimba, kwangu nikajihisi kama tayari nimeshakabidhiwa mtoto. So nikawa napiga misele na mtoto ili kumfariji maana nilikuwa namuona kuna muda kama anawaza sana kuhusu shule. Mtoto alikuwa hayajui maeneo ya kula bata nikaanza kumpeleka viwanja vya misosi.

Nakumbuka enzi hizo kulikuwaga na mgahawa mmoja unaitwa Steers and Debonear Pizza maeneo ya posta, basi mara kwa mara nikitoka kazini lazima nimchukue twende zetu Steers kwenda kula Pizza na mambo mengine. Nikawa nampeleka kwenye casino kwenda kuona watu wanavyotumia hela, mtoto nikawa nimemfungulia ulimwengu mwingine ambao alikuwa hajauona.

Nguo zake za zamani nikamwambia aachane nazo, nikawa nampeleka mlimani city kununua pamba zenye mapigo ya akina Khumbu. Mtoto akawa anang'aa zaidi na zaidi. Mtoto akasahau majonzi ya shule, tabasamu lake likarejea. Mtoto aliniona mimi kama mlezi wake, kiongozi wake, mfariji wake, rafiki yake and most of all a caring husband.

Nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara mwisho basi kila weekend lazima aje kulala kwangu. Yaani ikifika Ijumaa naenda kumchukua, tunakuwa wote hadi Jumapili, Jumapili jioni ndio namrudisha kwao.

Baada ya miezi 9 akajifungua japo miezi ilipitiliza, alijifungua karibia miezi 10. Tumbo lilikuwa kubwa mpaka tukawa tunahisi atakuwa na mapacha. Mungu ni mwema alijifungua salama kwa njia ya kawaida a baby boy.

Baada ya kujifungua nilichukua majukumu ya kumsomesha. Nilimtafutia shule ya kulipia hapa Dar na nikampangishia chumba karibia na shule ili aweze kuforcus na kuepukana na usumbufu wa mambo ya usafiri wa Dar.

Alimnyonyesha mtoto kwa kipindi cha miezi 4 tu baada ya hapo mtoto tukamuwekea bill ya maziwa ya ngo'mbe na ya kopo. Mtoto akawa analelewa na bibi yake, na siku za weekend tunaenda kumchukua mtoto na kushinda naye Kimara.

Maisha yaliendelea hivi hadi alipomaliza fourm six na kupata division two ya nguvu. Alikosa mkopo wa chuo (alipata mkopo asilimia ndogo sana) kutoka loan board kwa sababu amesoma shule ya kulipia, hivyo tena nikabeba majukumu ya kumlipia gharama ya chuo kikuu.

Akiwa chuoni nilikuwa namtembelea mara kwa mara na akirudi likizo anafikia kwangu. Akiwa chuoni, mpaka amemaliza chuo hadi sasa sijawahi kuhisi amenisaliti. We are still together and going strong, japo mie ndio chenga maana wakati yupo chuoni nilijikuta nimeangukia kwa mrembo mwingine matata na kuzaa naye ambapo hadi sasa nimeshashindwa kumwacha.

Mpaka nahisi huenda nikawa na wake wawili maana nishashindwa kabisa kumwacha huyu mwanamke. Wife anamjua na alishaamua kutokunifatilia tena, alishaumia sana lakini ndio hivyo nilishanasa.

MCHUMBA ANASOMESHWA

By the way matokeo ya form four ya mwaka 2012 ni yale yaliyofutwa baadae yakaja kutangazwa upya mwaka 2013 baada ya kulalamikiwa vigezo vya ufaulu. Nimeweka hiki kipengele kuna matomaso yataanza kuchallenge.
Tusemaje basi?. Mchumba azalishwe ndio asomeshwe?

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Hongera
 
Kwaiyo alomaliza 2012 now anatarajia mtoto wa tatu duh
 
"Mpaka nahisi huenda nikawa na wake wawili maana nishashindwa kabisa kumwacha huyu mwanamke. Wife anamjua na alishaamua kutokunifatilia tena, alishaumia sana lakini ndio hivyo nilishanasa."

Ulianza vizuri umeharibu hapo
 
Kaka tumekuelewa hongera ila sisi hatusomeshi kaka😃😃🤣🤣🤣
 
Kwanza hongera kwa uthubutu pili tambua kuna kitu kikubwa sana umekifanya
Hata mimi nina wife nahivi sasa ni mjamzito namshukuru kwakua anakwenda kutimiza moja ya malengo yangu kuwa na mtoto na kiukweli minapenda sana watoto .
Lakin yote kwa yote atakapo jifungua nimemuandalia zawad amabayo nilimfungilia account ya bank na kumuwekea hela Nashukuru mungu mbaka now kuna kiasi kikubwa sana cha fedha na yeye hajui lolote na adhimio langu kubwa ni kumsomesha chuo kwani aliishia kidato cha 6 lakin hakuweza kwenda chuo kwasababu ya matatizo ya kifamilia ni baada ya babaake kufariki wakabaki na mama tu hivyo alikata tamaa kabsa ya kuendelea mbaka nakutana nae na kumuoa
Alikuwa na malengo ya kuwa Medical doctor na ndokitu ambacho nakwenda kumtimizia soon nilishakwenda MUHIMBILI (MUHAS) kufatilia taratibu za chuo na ada na yeye hajui yote haya sababu nikama zawadi yangu kwake ya shukrani.

NOTE: nasisitiza mchumba hasomeshwi usije ukajarubu
Mimi nasomesha mke na tena mama watoto na ninasomesha but i don’t expect anything after doing that nasomesha kwa kuridhiana na moyo wangu na akilizangu kwa roho nyeupe hata akija kuleta mapicha picha ni juu yake mimi nimefanya kwa kumpa shukrani tu bhas coz hataikitokea tukavurugani hapo baadae na tukiachana i never mind anything
Sasa nyie kasomesheni wachumba then mka expect mavitu yenu kwa muwasomeshao yakiwakuta Hayaa situtakuwa tunaskilizia milio ya risasi tu bhas
 
Acha kudanganya wenzio, kama unepata bahati ya mtende basi usidhani ndo jinsi ilivyo, mchumba hasomeshwi katu
 
Back
Top Bottom